Jemedari Said punguza ujuaji brother, unajipunguzia Credit

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Nimekusikia leo ukimponda mzee Dalali kuwa alikosea sana alipokuwa analia wakati anaiongelea mechi ya Simba vs Wydad siku ya uhamasishaji pale Mbagala, ukilaani vitendo vya kishirikina alivokuwa akivisema Mzee wetu Dalali kwamba kwa sababu alikuwa kiongozi basi hakupaswa kusema vile.

We Jemedari wewe, muogope mungu bro, hapo redioni wasiokujua vizuri ni hao akina Tunu, Geoffrey, mzee wa Jambia na hao waandishi wachanga kwa sababu wakati unacheza soka pale Kariakoo ya Lindi hao niliowataja hapo walikuwa wakisoma shule za msingi au wengine walikuwa vijijini huko.

Jemedari ulikuwa mchezaji mzuri Kariakoo ya Lindi lakini kama kweli wewe ni mcha mungu sema ukweli, Kariakoo ya Lindi ilikuwa haifanyi ushirikina? Sisi tunaoifahamu Kariakoo ya Lindi mbona hayo mambo tulikuwa tunayaona Simba na Yanga zilipokuwa zinakuja Lindi kucheza na Kariakoo na wewe ulikuwa ukijua wazee wa Lindi wakifanya mambo hayo? Leo unaona ajabu anayosema Mzee Dalali?

Ushasahau enzi za mkuu wa mkoa wa Lindi enzi hizo akiipigania Kariakoo hadi Abdulaziz akaja kuharibu mambo, usitake kumaliza maneno kwa kueleza kinagaubaga, Kariakoo ya lindi enzi hizo wewe ukiwa mchezaji pamoja ma Martin Mkapa na wachezaji wengine ambao sio sehem ya mjadala mbona haya ni kawaida kwa timu zetu za kusini enzi hizo, watu wanakujua vizuri tu, Leo unakosoa maneno ya mzee wa Dalali.

Timu gani hapa Tanzania hairogi? Niambie BW Mchambuzi timu gani hapa Tanzania hairogi? Unataka kunambia Medeama hajarogwa jumatano afe, ina maana hujui yanayoendelea kigamboni huko ili mghana afe?

Kweli unakaa studio unasema mambo hayo hayapo cjui yamepitwa na wakati, mbona unakuwa mshamba sana we jamaa.

We huoni uchambuzi wako umekuletea maadui wengi kuliko maswahiba, unajifanya we sio mnafiki, outspoken kumbe wapiiiiiii.

Yaani wewe kila habari unajifanya mchambuzi, kwa elimu gani uliyokuwa nayo Jemedari?

Mambo mengine acha yakupite bro, mbona mwenzako mkongwe Ibrahim Masoud Maestro ana constructive criticism ila we jamaa dah.Punguza ujuaji bro.
 
Hii habari yako ungeweza kuifupisha kwa maneno yasiyozidi 100 tu na ungeeleweka; kuliko hivi ulivyofanya hapa.
 
Mbona azam hairogi na inashinda?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mpigie simu, huku atachelewa kuuona ujumbe wako.
 
Jemadari ana upuuzi mwingi ndiyo maana Haji huwa anampaka sana,anataka aonekane yuko neutral ilhali tunamjua ni mtopolo lakini kwa sababu za maslahi binafsi akawa anaishambulia uto hata pasipo stahili lawama. Ni mtu mmoja wa ovyo sana
 
Haya umeyajua Leo na wewe ndo supporter mkubwa wa Huyo Tutusa? Tukisema Jemadari ni mweupe mnatushambulia, Leo kawagusa mmekuja juu.
 
Nimekusikia leo ukimponda mzee Dalali kuwa alikosea sana alipokuwa analia wakati anaiongelea mechi ya Simba vs Wydad siku ya uhamasishaji pale Mbagala, ukilaani vitendo vya kishirikina alivokuwa akivisema Mzee wetu Dalali kwamba kwa sababu alikuwa kiongozi basi hakupaswa kusema vile.

We Jemedari wewe, muogope mungu bro, hapo redioni wasiokujua vizuri ni hao akina Tunu, Geoffrey, mzee wa Jambia na hao waandishi wachanga kwa sababu wakati unacheza soka pale Kariakoo ya Lindi hao niliowataja hapo walikuwa wakisoma shule za msingi au wengine walikuwa vijijini huko.

Jemedari ulikuwa mchezaji mzuri Kariakoo ya Lindi lakini kama kweli wewe ni mcha mungu sema ukweli, Kariakoo ya Lindi ilikuwa haifanyi ushirikina? Sisi tunaoifahamu Kariakoo ya Lindi mbona hayo mambo tulikuwa tunayaona Simba na Yanga zilipokuwa zinakuja Lindi kucheza na Kariakoo na wewe ulikuwa ukijua wazee wa Lindi wakifanya mambo hayo? Leo unaona ajabu anayosema Mzee Dalali?

Ushasahau enzi za mkuu wa mkoa wa Lindi enzi hizo akiipigania Kariakoo hadi Abdulaziz akaja kuharibu mambo, usitake kumaliza maneno kwa kueleza kinagaubaga, Kariakoo ya lindi enzi hizo wewe ukiwa mchezaji pamoja ma Martin Mkapa na wachezaji wengine ambao sio sehem ya mjadala mbona haya ni kawaida kwa timu zetu za kusini enzi hizo, watu wanakujua vizuri tu, Leo unakosoa maneno ya mzee wa Dalali.

Timu gani hapa Tanzania hairogi? Niambie BW Mchambuzi timu gani hapa Tanzania hairogi? Unataka kunambia Medeama hajarogwa jumatano afe, ina maana hujui yanayoendelea kigamboni huko ili mghana afe?

Kweli unakaa studio unasema mambo hayo hayapo cjui yamepitwa na wakati, mbona unakuwa mshamba sana we jamaa.

We huoni uchambuzi wako umekuletea maadui wengi kuliko maswahiba, unajifanya we sio mnafiki, outspoken kumbe wapiiiiiii.

Yaani wewe kila habari unajifanya mchambuzi, kwa elimu gani uliyokuwa nayo Jemedari?

Mambo mengine acha yakupite bro, mbona mwenzako mkongwe Ibrahim Masoud Maestro ana constructive criticism ila we jamaa dah.Punguza ujuaji bro.
huyo jemedari ni njaa inamsumbua
 
Haya umeyajua Leo na wewe ndo supporter mkubwa wa Huyo Tutusa? Tukisema Jemadari ni mweupe mnatushambulia, Leo kawagusa mmekuja juu.
Lini umeona nikimsapoti huyo juha au umenifananisha? Nilishawahi kusema humu kuwa Jemadari ni njaa kali inamsumbua.
 
Nimekusikia leo ukimponda mzee Dalali kuwa alikosea sana alipokuwa analia wakati anaiongelea mechi ya Simba vs Wydad siku ya uhamasishaji pale Mbagala, ukilaani vitendo vya kishirikina alivokuwa akivisema Mzee wetu Dalali kwamba kwa sababu alikuwa kiongozi basi hakupaswa kusema vile.

We Jemedari wewe, muogope mungu bro, hapo redioni wasiokujua vizuri ni hao akina Tunu, Geoffrey, mzee wa Jambia na hao waandishi wachanga kwa sababu wakati unacheza soka pale Kariakoo ya Lindi hao niliowataja hapo walikuwa wakisoma shule za msingi au wengine walikuwa vijijini huko.

Jemedari ulikuwa mchezaji mzuri Kariakoo ya Lindi lakini kama kweli wewe ni mcha mungu sema ukweli, Kariakoo ya Lindi ilikuwa haifanyi ushirikina? Sisi tunaoifahamu Kariakoo ya Lindi mbona hayo mambo tulikuwa tunayaona Simba na Yanga zilipokuwa zinakuja Lindi kucheza na Kariakoo na wewe ulikuwa ukijua wazee wa Lindi wakifanya mambo hayo? Leo unaona ajabu anayosema Mzee Dalali?

Ushasahau enzi za mkuu wa mkoa wa Lindi enzi hizo akiipigania Kariakoo hadi Abdulaziz akaja kuharibu mambo, usitake kumaliza maneno kwa kueleza kinagaubaga, Kariakoo ya lindi enzi hizo wewe ukiwa mchezaji pamoja ma Martin Mkapa na wachezaji wengine ambao sio sehem ya mjadala mbona haya ni kawaida kwa timu zetu za kusini enzi hizo, watu wanakujua vizuri tu, Leo unakosoa maneno ya mzee wa Dalali.

Timu gani hapa Tanzania hairogi? Niambie BW Mchambuzi timu gani hapa Tanzania hairogi? Unataka kunambia Medeama hajarogwa jumatano afe, ina maana hujui yanayoendelea kigamboni huko ili mghana afe?

Kweli unakaa studio unasema mambo hayo hayapo cjui yamepitwa na wakati, mbona unakuwa mshamba sana we jamaa.

We huoni uchambuzi wako umekuletea maadui wengi kuliko maswahiba, unajifanya we sio mnafiki, outspoken kumbe wapiiiiiii.

Yaani wewe kila habari unajifanya mchambuzi, kwa elimu gani uliyokuwa nayo Jemedari?

Mambo mengine acha yakupite bro, mbona mwenzako mkongwe Ibrahim Masoud Maestro ana constructive criticism ila we jamaa dah.Punguza ujuaji bro.
Hao hao Mikia FC Bwimbwi FC Ngada FC Ndumba FC Mwakarobo FC wamemjaza fuvu akawa anajiona anajua na kutwa kucha kuiongelea mabaya Yanga, yamewakuta.
 
Huyu Jemedari ni Aina ya watu ambao wanajifanya hawajui kama Kuna uchawi. Umempa ukweli! Kwanini hajiulizi Kwa nini baadhi ya timu hazipitii katika milango rasmi kwenye baadhi ya mechi au Kwa nini baadhi ya wachezaji na timu zinapigwa faini Kwa kuhusishwa na ushirikina? Kama uchawi haupo basi hizo adhabu zinatolewa Kwa ajili ya nini?
Imani hizo za uchawi zipo Dunia nzima sio hapa kwetu tu, Kuna nchi mimi nilibahatika kuishi na kwenye Mpira Imani hizo zinatumika. Huyo labda toka atoke kwao huko Nanjilinji na kuingia jijini anajisahaulisha simba luwala wa kwaao huko
 
Nimekusikia leo ukimponda mzee Dalali kuwa alikosea sana alipokuwa analia wakati anaiongelea mechi ya Simba vs Wydad siku ya uhamasishaji pale Mbagala, ukilaani vitendo vya kishirikina alivokuwa akivisema Mzee wetu Dalali kwamba kwa sababu alikuwa kiongozi basi hakupaswa kusema vile.

We Jemedari wewe, muogope mungu bro, hapo redioni wasiokujua vizuri ni hao akina Tunu, Geoffrey, mzee wa Jambia na hao waandishi wachanga kwa sababu wakati unacheza soka pale Kariakoo ya Lindi hao niliowataja hapo walikuwa wakisoma shule za msingi au wengine walikuwa vijijini huko.

Jemedari ulikuwa mchezaji mzuri Kariakoo ya Lindi lakini kama kweli wewe ni mcha mungu sema ukweli, Kariakoo ya Lindi ilikuwa haifanyi ushirikina? Sisi tunaoifahamu Kariakoo ya Lindi mbona hayo mambo tulikuwa tunayaona Simba na Yanga zilipokuwa zinakuja Lindi kucheza na Kariakoo na wewe ulikuwa ukijua wazee wa Lindi wakifanya mambo hayo? Leo unaona ajabu anayosema Mzee Dalali?

Ushasahau enzi za mkuu wa mkoa wa Lindi enzi hizo akiipigania Kariakoo hadi Abdulaziz akaja kuharibu mambo, usitake kumaliza maneno kwa kueleza kinagaubaga, Kariakoo ya lindi enzi hizo wewe ukiwa mchezaji pamoja ma Martin Mkapa na wachezaji wengine ambao sio sehem ya mjadala mbona haya ni kawaida kwa timu zetu za kusini enzi hizo, watu wanakujua vizuri tu, Leo unakosoa maneno ya mzee wa Dalali.

Timu gani hapa Tanzania hairogi? Niambie BW Mchambuzi timu gani hapa Tanzania hairogi? Unataka kunambia Medeama hajarogwa jumatano afe, ina maana hujui yanayoendelea kigamboni huko ili mghana afe?

Kweli unakaa studio unasema mambo hayo hayapo cjui yamepitwa na wakati, mbona unakuwa mshamba sana we jamaa.

We huoni uchambuzi wako umekuletea maadui wengi kuliko maswahiba, unajifanya we sio mnafiki, outspoken kumbe wapiiiiiii.

Yaani wewe kila habari unajifanya mchambuzi, kwa elimu gani uliyokuwa nayo Jemedari?

Mambo mengine acha yakupite bro, mbona mwenzako mkongwe Ibrahim Masoud Maestro ana constructive criticism ila we jamaa dah.Punguza ujuaji bro.
Na nyie mnazidi kufanya uchawi hadharani. Ni kweli timu zote zinaroga, ila Watani mmezidi hicho ndicho alichokisema, mara mchome uwanja, mara basi kinyumenyume. Mpaka sasa mnajisema hadharani, sio Siri mnakaribia kufa nyie, manake ni kama uchawi unawageuka.
 
Nikionaga mtu anaongelea masuala ya kishirikina kwenye mpira Huwa namdharau sana.
 
Kwahiyo kwenye mpira haufanyi kazi? Unafanya kazi sehemu gani sasa?

Kwa mujibu wa baadhi ya wachezaji na refa mmoja wa ligi daraja la kwanza niliopata kuongea nao, wanakiri uchawi kwenye soka upo na unafanya kazi, japo mazingira haufanyi kazi kwasababu kadhaa.
 
Wengi wa wanaosema UCHAWI HAUPO ni watu wanaofeki maisha, na baadhi yao ni washiriki wazuri wa hayo mambo.Na Watanzania kwa ku-fake maisha tuko vizuri sana.
 
Jemedari yuko sahihi, tuseme team zinaroga kama unayosema lakini wakifanya mambo hadharani uwanjani wanachukuliwa hatua, kwanini? sababu fanya mambo yako huko ndani usilete hadharani, Kiongozi kusema maneno kama yale hadharani ni ujinga na inamuonesha ni mtu wa namna gani. Kama mzee Dalali anaamini hayo aliyosema sasa kuajiri makocha wa gharama wa nini, wachezaji wa gharama wa nini. Weka wachezaji wa kawaida au wazuri kawaida tu benck weka mtu kiongozi tu sio lazima ajuwe kufundisha halafu wekezeni kwa wachawi zaidi tuone kama mtapata mafanikio. Mimi siwezi kushabikia team inaamini kwenye ushirikina kupata mafanikio. Unaenda Pemba, Rukwa sijui Tanga kufanya hayo maujinga wakati hiyo mikoa tu wao mpira umewashinda team tu hawana. Tuacheni ujinga wa hawa wazee, mimi nilidhani huko tumepita kumbe bado na mambo ya kamati za kijinga.
 
Ushirikina kwenye mpira mpaka leo sielewi unafanyaje kazi!
Mwaka 2002 tulikuwa na ligi mkoani huko. Tulitumia ushirikina kwenye ule mchezo, na kama hiyo haitoshi tuliwanunua kwa siri baadhi ya wapinzani wetu akiwepo kipa.

Lakini jamaa huku wakijua hata wakishinda hamna faida wanayopata, walipiga kandanda utafikiri kuna wanachokitafuta na matokeo yake tukafungwa 2:1. Kipa mwenyewe baada ya mchezo anasema tulikuwa tunamlenga sasa yeye angefanyaje!
 
Back
Top Bottom