Jemedari said: Simba kapigwa 5-1 kwenye jezi pia

Fanyeni vetting kabla hamjatoa tender
ama kama vipi hao viongozi wa simba wangekuwa wanadili na madizaina wa fashion hapa bongo inakuwa kama tenda vile kila kijana mwenye kuweza apeleke sample yako ikiwa kwenye mfumo wa picha dizaini atakayekuwa mzuri anapewa mshiko hata wa milioni mbili,hapa tungekuwa na jezi nzuri.....na iko ndicho anachokifanya dizaina wa yanga bwana sheria ngowi anadiligi na vijana wenye talenti
 
Matangazo mengi sana yasio na faida kwenye jezi.
-- mo dewj matakoni
--mo extra
--mo energy

Upuuzi kibqo kwenye jezi...


Mimi ni Simba damu lakini sinunuwi jezi ya simba sababu ya matangazo ya kipuuzi...
Hapa napo mo anatupiga sana yaani kuwa mdhamini wa timu imekuwa nongwa anataka hadi biashara zake napo zitangazwe na simba,pale simba hata haya mauozo yote yanayotokea pale viongozi upande wa wanachana wanaogopa kumchana live muwekezaji kwamba anachafua jezi
 
Upuuzi mtupu kwa simba.

Mo ni mwekezaji tu na sio mdhamini kwenye timu ya Simba..


Sijawahi kuona Manchester United inaweka jina la GLAZER FAMILY KWENYE JEZI,,au timu za ulaya wanaweka jina la mwekezaji badala ya mdhamini..

ijapokuwa wana hisa kubwa kwenye timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…