Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Simba ni top dog weweeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya City wanaenda kuwakeketa mchana kweupeeeeeeKuelekea mchezo wa klabu bingwa afrika kati ya AS Vita vs Simba, mchambuzi wa michezo wa Efm, Jemedari Said akiongea asubuhi hii kwenye kipindi cha Sports Headquarters amesema Simba ni underdogs!
Amesema, Simba itaingia mechi ya kesho kama underdogs, hivyo AS Vita wana nafasi zaidi ya kuibuka na ushindi, japo amekiri Simba hii ni nzuri kuliko Simba ile ya wakati ule ilipofungwa 5-0.
"Nitawashangaa sana Simba kama wataruhusu kufungwa goli kuanzia 3 kwakuwa As Vita imeuza wachezaji wake wengi waloikuwa tegemeo" aliongeza Jemedari Said.
Nitumie nafasi kuwatakia As Vita ushindi kwenye mechi ya kesho dhidi ya underdog Simba!
Vp hapo ulipoKama iddy nado alikuwa anawachekecha kiasi kile, Basi kesho litakufa jitu
Unateseka ukiwa wapiKuelekea mchezo wa klabu bingwa afrika kati ya AS Vita vs Simba, mchambuzi wa michezo wa Efm, Jemedari Said akiongea asubuhi hii kwenye kipindi cha Sports Headquarters amesema Simba ni underdogs!
Amesema, Simba itaingia mechi ya kesho kama underdogs, hivyo AS Vita wana nafasi zaidi ya kuibuka na ushindi, japo amekiri Simba hii ni nzuri kuliko Simba ile ya wakati ule ilipofungwa 5-0.
"Nitawashangaa sana Simba kama wataruhusu kufungwa goli kuanzia 3 kwakuwa As Vita imeuza wachezaji wake wengi waloikuwa tegemeo" aliongeza Jemedari Said.
Nitumie nafasi kuwatakia As Vita ushindi kwenye mechi ya kesho dhidi ya underdog Simba!
Wamemaliza kazi 🦁🦁 wanyama wakali[emoji122][emoji122]
Na Leo njoo uwapongeze baada ya mechi!! Pole Sana Renzo bin Leak & Jemedari!! Leo utakimbia nyuzi zako zote!! Asante kwa kuwatakia ushindi As Vita!!! Tatizo lako ni mwepedi wa kula Kona!!! Na hapa nakuwekea hii hapa, utaikuta machozi yatakapokauka machoni pako:Kuelekea mchezo wa klabu bingwa afrika kati ya AS Vita vs Simba, mchambuzi wa michezo wa Efm, Jemedari Said akiongea asubuhi hii kwenye kipindi cha Sports Headquarters amesema Simba ni underdogs!
Amesema, Simba itaingia mechi ya kesho kama underdogs, hivyo AS Vita wana nafasi zaidi ya kuibuka na ushindi, japo amekiri Simba hii ni nzuri kuliko Simba ile ya wakati ule ilipofungwa 5-0.
"Nitawashangaa sana Simba kama wataruhusu kufungwa goli kuanzia 3 kwakuwa As Vita imeuza wachezaji wake wengi waloikuwa tegemeo" aliongeza Jemedari Said.
Nitumie nafasi kuwatakia As Vita ushindi kwenye mechi ya kesho dhidi ya underdog Simba!
Renzo Leo sijui amejificha wapi?? Anateseka usipime! kisa Simba kashinda!! Ukiona mtu kakimbia uzi wake mwenyewe ujue hayo ni matanga mazito!! Renzo kakimbia nyuzi nyingi usipime! Huko aliko anapumulia kwenye mashine!! Machozi yakimkauka atapita hapa kimya kimya!!Unateseka ukiwa wapi
Wanatokeaga chalinze hawa!! Wamejifunzia uchambuzi uchwara kwenye "Cha ndimu"!!Bongo tunatoaga wap hawa wachambuzi uchwara.
Huyu Jemadari amekeketwa?Kuelekea mchezo wa klabu bingwa afrika kati ya AS Vita vs Simba, mchambuzi wa michezo wa Efm, Jemedari Said akiongea asubuhi hii kwenye kipindi cha Sports Headquarters amesema Simba ni underdogs!