Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Wasanii watatu, Dj mmoja, Mc mmoja, Wageni wawili, Huna kombe la kuonesha, huna mchezaji wa kuringishia
kwanini shughuli isiishe mapema
Yani shughuli kama ya Ubarikio hakuna mambo mengi๐๐๐๐๐
Duniani kama hujafanya mambo makubwa hata MSIBA wako utakuwa mfupi yaani utasikia MAREHEMU alizaliwa akazurura akafa basi
@Jemedar_said