Jemedari Saidi: Huna hata kombe la kuonyesha kwanini shughuli yako isiwe ya muda mfupi.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Wasanii watatu, Dj mmoja, Mc mmoja, Wageni wawili, Huna kombe la kuonesha, huna mchezaji wa kuringishia

kwanini shughuli isiishe mapema

Yani shughuli kama ya Ubarikio hakuna mambo mengiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Duniani kama hujafanya mambo makubwa hata MSIBA wako utakuwa mfupi yaani utasikia MAREHEMU alizaliwa akazurura akafa basi
@Jemedar_said
 
Uto wenye akili 2 tu.
 
Sherehe ya Uto ilikuwa ni ya hovyo sana na hata mpangilio haukuwepo, Sound ilikuwa ime setiwa vibaya, Ma MC walichokuwa wanakifanya hata hakieleweki, Mtumbuizaji rasmi Mmakonde mbwembwe nyingi anakimbia kimbia tu mpaka pumzi ikakata. Wataalamu wa events ( Events Planners) Ukiwapa kazi ya kutoa tathimini watakueleza kwa uzuri tu.
 
Shughuli inaisha mapema watu warudi nyumbani mapema huyo mjuaji anataka tulale uwanjani.
 
Kauli zake dhidi ya Simba ambazo amekuwa anatoa akiwa redioni kama mchaaa mbuzi zilitosha kuifanya Simba kusitisha mahusiano naye ya kibiashara
 
Wachambuzi wa Bongo wengi "Mbao ishaliwa na mchwa"
 
Wagonjwa wa akili mpo wengi sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu jamaa ni Yanga WA utotoni, sema huku ukubwani anasukumwa na masilahi yake!
Alianza kuichukia Yanga sababu ya kumuacha Metacha Mnata na kuwalazimisha wachezaji WA Yanga kutomtumia yeye kama manager.

Sasa Simba wamezingua kwa Manula, lazima aoneshe cheche kwao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…