Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hizi ndiyo akili zenu wanasimba..!asa ivo viwanja vya IHEFU ni viwanja au ni mashamba ya mahindi Ni bora Simba kutokua na Uwanja kabisa kuliko kumiliki mapori ya Mahindi kama ya IHEFU asee vile vijwa kwenye Ubora wa CAF havirusiwi kabisa kuandaa mechi
Are you mbumbumbu?asa ivo viwanja vya IHEFU ni viwanja au ni mashamba ya mahindi Ni bora Simba kutokua na Uwanja kabisa kuliko kumiliki mapori ya Mahindi kama ya IHEFU asee vile vijwa kwenye Ubora wa CAF havirusiwi kabisa kuandaa mechi
DARASA LA 1Casa ivo viwanja vya IHEFU ni viwanja au ni mashamba ya mahindi Ni bora Simba kutokua na Uwanja kabisa kuliko kumiliki mapori ya Mahindi kama ya IHEFU asee vile vijwa kwenye Ubora wa CAF havirusiwi kabisa kuandaa mechi
Huyu bwege kuna dili anafukuzia Yanga maana kila siku anaamka na Simba tu,likibuma anaaza kutupia mafongo,yaani huyu mmakonde anahangaika sana."Tuviheshimu sana vilabu vyenye viwanja vyao na tuwaunge mkono, Azam FC, Mtibwa Sugar, IHEFU kabla ya kuuzwa na kutelekeza uwanja na JKT Tanzania, angalia Simba SC wanavyodhalilika ma viwanja vya CCM vya zamani vimechoka na miundombinu hafifu."
"Simba nao hawana kiwanja lakini wamekuwa wakikwepa kwepa kwenda Chamazi bila sababu za msingi, wanasahau masikini hanaga kiapo wala chaguo. Lakini hii mechi ya Simba Vs Tanzania Prison mbona production ilikuwa Superb au kuna jambo jingine kuhusu MBANGULA? Naingia kazini, nikipata stori kamili ntarejea tena."
©️ Jemedari Said
Mchambuzi wa kituo cha EFM ✍️
ndio, mwigulu aliinunua baada ya kuitelekeza singida fountain gate (inasemwa hawana maelewano na mmiliki wa fountain gate),Kwani IHEFU imeuzwa? mwenzenu niko nyuma sana kufatilia mambo siku hizi.
aya twambie wew mwenye akili ya degree ya ualimu ambaye unashindwa kuchanganua mambo wezio TFF tu wameamua kuvifungia mfano uwanja wa Mtibwa wew na akili yako ya Ualimu wa chekechea unatea unaona ni viwanja vile vina hadhi ya kuandaa mechi ya ligiDARASA LA 1C
twambie wew mwenye akili uwanja wa IHEFU Na mtibwa wa akili yako unaona kile kiwanja kina uwezo Gani wakuandaa mechi ya CAF kama tu TTF wameamua kufungia kiwanja cha Mtibwa wew unakuja apa unatetea ninAre you mbumbumbu?
Mnacho nyie?aya twambie wew mwenye akili ya degree ya ualimu ambaye unashindwa kuchanganua mambo wezio TFF tu wameamua kuvifungia mfano uwanja wa Mtibwa wew na akili yako ya Ualimu wa chekechea unatea unaona ni viwanja vile vina hadhi ya kuandaa mechi ya ligi
Sio dili wala hela,akili zimewaangia kichwani sasa kuwa Yanga ni kama mafuriko haizuiliki kwa mikono wala beseni,waliponda sana process za Yanga kufikia hapa ilipofika.Huyu bwege kuna dili anafukuzia Yanga maana kila siku anaamka na Simba tu,likibuma anaaza kutupia mafongo,yaani huyu mmakonde anahangaika sana.
ugumu wake nin mbona Mo arena inaenda Taratibu na watu wanavumilia ni Bora kuchelewa kumiliki kiwanja au ujenge kwa mda mrefu kuliko kumiliki uwanja kama wa Mtibwa ule huna tofauti na mtu ambaye hana uwanja tu.Mnacho nyie?
Ni vyepesi kuboresha na ni ngumu sana kuanza Project.
Dah! Hii ilinipita aisee! Kwa hiyo kuna uwezekano IHEFU ikasajili vyuma vyenye majina safari hii.ndio, mwigulu aliinunua baada ya kuitelekeza singida fountain gate (inasemwa hawana maelewano na mmiliki wa fountain gate),