Jeneral wa Urusi nusra auawe na wanajeshi wake alipotoa amri ya ovyo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kawaamrisha waingie kwenye mapambano wakati brigade yenyewe imefyekwa na kubakia na wanajeshi wachache, ilimbidi atoke nduki huku akilindwa na special forces wa Urusi.....hali mbaya

Safi sana, piga kabisa hizo takataka za Putin
 
Kawaamrisha waingie kwenye mapambano wakati brigade yenyewe imefyekwa na kubakia na wanajeshi wachache, ilimbidi atoke nduki huku akilindwa na special forces wa Urusi.....hali mbaya

Propaganda za West.
Hakuna USHAHIDI ni sauti tu yeyote anaweza jirecord na kupost.
 
Yes if he is not a good ccommander then , he must resign . But these wishful thinking will sacrifice many more lives of Ukrainians soldiers. With the statistics of 60-100 men per day ,this is an alarming situation. The comedian goon president must stop listening to the empty promises he is getting from his western fake allies. Because he is loosing his.men for no proper reasons. They are giving him outdated arms and not soldiers, he is also indebting his country deeply
 
Your 'god' Putin threatened to oust him in three days, he didn't count on Ukrainians ability to unite and fight together to ensure sovereignty of their nation and flag, they're willing to die to their last soul if that's what it will cost them.
So far Putin has caused huge embarrassment to the once considered mightier Russia, which has been exposed as nothing but a useless paper tiger.
 
Russia ishapoteza majenerali wengi sana tokea operation ata 15 wanafika., Putin hajali askari wake wanauliwa ovyo ovyo tu
Sawa..itakua Ukraine hawauliwi ovyoovyo ndo maana wamefika moscow wakielekea Kremlin pale, sema Putin si ilitangazwa kafa tayari...sijui watamkuta nani huko
 
Mwezi wa 4 sasa jua Mrusi wa mchongo muliyeaminishwa ni hatari kwa vita anapelekwa mchaka mchaka na nchi ndogo ambayo haikuwa na record ya kupambana na Russia, muda utaongea usiandikie mate
 
Back
Top Bottom