Safi sana, piga kabisa hizo takataka za PutinKawaamrisha waingie kwenye mapambano wakati brigade yenyewe imefyekwa na kubakia na wanajeshi wachache, ilimbidi atoke nduki huku akilindwa na special forces wa Urusi.....hali mbaya
Intercepted audio said Russian soldiers almost blew up a top general for ordering them to the front line, Ukraine says
Russian troops in Ukraine almost killed a general who ordered them to the front lines, Ukraine saidafrica.businessinsider.com
Propaganda za West.Kawaamrisha waingie kwenye mapambano wakati brigade yenyewe imefyekwa na kubakia na wanajeshi wachache, ilimbidi atoke nduki huku akilindwa na special forces wa Urusi.....hali mbaya
Intercepted audio said Russian soldiers almost blew up a top general for ordering them to the front line, Ukraine says
Russian troops in Ukraine almost killed a general who ordered them to the front lines, Ukraine saidafrica.businessinsider.com
Pro Russia in denialPropaganda za West.
Hakuna USHAHIDI ni sauti tu yeyote anaweza jirecord na kupost.
Your 'god' Putin threatened to oust him in three days, he didn't count on Ukrainians ability to unite and fight together to ensure sovereignty of their nation and flag, they're willing to die to their last soul if that's what it will cost them.Yes if he is not a good ccommander then , he must resign . But these wishful thinking will sacrifice many more lives of Ukrainians soldiers. With the statistics of 60-100 men per day ,this is an alarming situation. The comedian goon president must stop listening to the empty promises he is getting from his western fake allies. Because he is loosing his.men for no proper reasons. They are giving him outdated arms and not soldiers, he is also indebting his country deeply
Sawa..itakua Ukraine hawauliwi ovyoovyo ndo maana wamefika moscow wakielekea Kremlin pale, sema Putin si ilitangazwa kafa tayari...sijui watamkuta nani hukoRussia ishapoteza majenerali wengi sana tokea operation ata 15 wanafika., Putin hajali askari wake wanauliwa ovyo ovyo tu
Mwezi wa 4 sasa jua Mrusi wa mchongo muliyeaminishwa ni hatari kwa vita anapelekwa mchaka mchaka na nchi ndogo ambayo haikuwa na record ya kupambana na Russia, muda utaongea usiandikie mateSawa..itakua Ukraine hawauliwi ovyoovyo ndo maana wamefika moscow wakielekea Kremlin pale, sema Putin si ilitangazwa kafa tayari...sijui watamkuta nani huko
Ukraine imepoteza majenerali wangapi??Russia ishapoteza majenerali wengi sana tokea operation ata 15 wanafika., Putin hajali askari wake wanauliwa ovyo ovyo tu
Hii ni Sauti ya ZelenskyKawaamrisha waingie kwenye mapambano wakati brigade yenyewe imefyekwa na kubakia na wanajeshi wachache, ilimbidi atoke nduki huku akilindwa na special forces wa Urusi.....hali mbaya
Intercepted audio said Russian soldiers almost blew up a top general for ordering them to the front line, Ukraine says
Russian troops in Ukraine almost killed a general who ordered them to the front lines, Ukraine saidafrica.businessinsider.com
Sio majenerali tu hata vita yenyewe wamepotezaRussia ishapoteza majenerali wengi sana tokea operation ata 15 wanafika., Putin hajali askari wake wanauliwa ovyo ovyo tu