Jenerali Davis Mwamunyange ateuliwa kwenye tume ya kuchunguza ghasia za baada ya uchaguzi Zimbabwe

Jenerali Davis Mwamunyange ateuliwa kwenye tume ya kuchunguza ghasia za baada ya uchaguzi Zimbabwe

Junior Clinton Mr.

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
1,075
Reaction score
1,423
RAIS Emmerson Mnagangwa wa Zimbabwe, amteua Mkuu wa Majeshi wa Tanzania Mstaafu, Jenerali Davis Mwamunyange katika Tume ya Kutathmini Athari za Ghasia zilizotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.

Katika tume hiyo yumo aliyewahi kuwa Rais wa Afrika Kusini (Septemba 2008 hadi Mei 2009), Kgalema Petrus Motlanthe pamoja na Waharidhiri na wanadiplomasia kutoka Nigeria na Uingereza.

Ghasia katika uchaguzi uliofanyika Julai 30 zilisababisha vifo vya watu 6 na kuwaacha wengine na majeraha.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh Kenya news siku hizi pamenoga hadi kero za SADC zimepata njia ya kufika hapa, jina Kenya litaghubika Afrika hii, napenda pia jinsi 254 wanawakilisha hata kule Nairaland kwa Nigeria.
 
These are truly our closest allies, in fact Zimbabwe 🇿🇼 is not the sovereignty without Tanzania 🇹🇿 and the rest of our fellow southern family 🇹🇿 🇲🇿 🇨🇩 🇿🇲 🇲🇼 🇿🇼 🇱🇸 🇿🇦 🇳🇦 🇧🇼 these are all Tanzania 🇹🇿 children 🚸
 
Back
Top Bottom