Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Naam libaki wazi..., Ila huo Uwazi ni uwazi kweli sio kufukuza hawa kuleta wengine wakutumia hilo eneo..., kama ni wazi kwa kila mtanzania akijisikia aweze kwenda (tena affordably) ku-enjoy, hapo sawa lakini sio tunasema lipo wazi alafu nikitaka kwenda kuvinjari useme ni trespass