kama upo karibu nao waulize, wale wanyanma kwenye zoo wamefungua kwao waliwatoa wapi? hata kama bado tunao, ni kweli hawajachukua wote ila wale waliopelekwa kule ni wa kwetu, wametuibia.tulitakiwa kujua kuwa wanasafirisha ili tuwauzie kwa uwazi ru sio kimyakimya.Wangekuwa wanabeba Wanyama Tanzania isingeongoza Duniani Kwa Simba wengi na Wanyama wengine.
Haters mnachoweza ni uzushi,haya thibitisha
Na Hao waarabu wanaotua Loliondo na Ngorongro na Midege Mikubwa nao ni Wanyama?My Take
Naunga mkono hoja,hakuna excuses ya sijui Ardhi yetu sijui ya nani? Lazima Hifadhi Ilindwe.https://radiotadio.co.tz/loliondofm/2024/05/07/453/
View attachment 2984619
a kizimkazi nayo ni kifadhi inatakiwa wote waonfolewe pabaki waziHIFADHI ZOTE NCHINI NI LAZIMA ZIBAKI WAZI, ILI KULINDA UHIFADHI WAKE NA MAANA HALISI YA NENO, HIFADHI YA TAIFA!.
Tuoneshe midege mikubwa ikitua.Pili kwani wewe hujui kwamba Waarabu ni matajiri? Serengeti sio Hifadhi ya maskini pale Kuna Hotel zinazoongoza Dunia sio tuu Kwa ubora Bali Kwa bei ghali.Na Hao waarabu wanaotua Loliondo na Ngorongro na Midege Mikubwa nao ni Wanyama?
Kauli inayotakiwa kusemwa ni hii "ENEO LA NGORONGORO NI KWA AJIRI YA WAWEKEZAJI WA KIARABU, WANYEJI WOTE WATAFUTE PA KWENDA!!!!!!
Ni sawa kama ni Hifadhi watapishaHat
a kizimkazi nayo ni kifadhi inatakiwa wote waonfolewe pabaki wazi
Yan wameshindwa hata kuangalia movie ya "gods must be crazy"Kwa hiyo NO human activities
Multiple land status IMEONDOLEWA
Mkumbuke watalii huja kuona jinsi binadamu anavyoweza kuishi pamoja na wanyama bila tatizo na hiyo ndo inamplekea Travel Agent kuuza kwa wingi safari za huko shimoni
cc UNESCO
NOTE: Bima na IKOLOJIA wapi na wapi
Maraidi watano wote waliopita, wao hawakuwa na upeo huo?HIFADHI ZOTE NCHINI NI LAZIMA ZIBAKI WAZI, ILI KULINDA UHIFADHI WAKE NA MAANA HALISI YA NENO, HIFADHI YA TAIFA,
Aidha uendelezaji wowote wa hifadhi ufanyike baada ya tathmini ya kina wenye kuepusha uhamiaji wa watu hifadhini, ili zisije geuka majiji ndani ya hifadhi na kuharibu mienendo ya wanyama na ustawi wao!
ECOLOGIA FIRST FOR FUTURE GENERATIONS!
Yawezekana hawakuwa na uoni huo, kwani kila jambo hutendeka kwa wakati sahihi unapofikia, watu kujenga makazi ya kudumu katika hifadhi, hili sio jambo sahihi.Maraidi watano wote waliopita, wao hawakuwa na upeo huo?
Limeingiaje hapoKanisa Moja Takatifu la Mitume 😄
ENEO LA NGORO NGORO NI MBUGA TENGEFU KWA AJILI YA WANYAMA PEKEE, SHUGHULI ZINAZORUHUSIWA NI SHUGHULI ZA KITALII PEKEE, SIO RUHUSA KUONDOSHA AIDHA KUBEBA AIDHA KUHAMISHA WANYAMA KATIKA ENEO HILO.Na Hao waarabu wanaotua Loliondo na Ngorongro na Midege Mikubwa nao ni Wanyama?
Kauli inayotakiwa kusemwa ni hii "ENEO LA NGORONGORO NI KWA AJIRI YA WAWEKEZAJI WA KIARABU, WANYEJI WOTE WATAFUTE PA KWENDA!!!!!!
Yawezekana hawakuwa na uoni huo, kwani kila jambo hutendeka kwa wakati sahihi unapofikia, watu kujenga makazi ya kudumu katika hifadhi, hili sio jambo sahihi.
We popoma una juwa maana ya Ngorongoro Conservation Area ìHIFADHI ZOTE NCHINI NI LAZIMA ZIBAKI WAZI, ILI KULINDA UHIFADHI WAKE NA MAANA HALISI YA NENO, HIFADHI YA TAIFA!.
Haya ni maagizo ya UNESCO, ambayo yana tally na the 2030 agenda,which demands "Zero Carbon Emmissions." I believe an intelligent mind can extrapolate and tell what "Zero Carbon Emmissision" entails.Kwa hiyo NO human activities
Multiple land status IMEONDOLEWA
Mkumbuke watalii huja kuona jinsi binadamu anavyoweza kuishi pamoja na wanyama bila tatizo na hiyo ndo inamplekea Travel Agent kuuza kwa wingi safari za huko shimoni
cc UNESCO
NOTE: Bima na IKOLOJIA wapi na wapi
Ngorongoro haihusiani na mambo ya kijeshi, ni suala la kiraia.Askari akistaafu anakuwa ktk jeshi la akiba kwa miaka 3, sasa kauli hii ya jenerali mstaafu ni kuwa bado yupo ktk utumishi wa jeshi la akiba hivyo lazima atoe kauli za kumlinda amiri jeshi mkuu