Kuna mwoyo unaitwa Tz kweli, karibu uraiani uone vitu vilivyo panda tunaishi kwa shida mafuta ni 3400, sio ya bure tena."Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo."
- Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, katika hafla ya kuagwa rasmi jeshini.
CC: swahilitimes
Waafrika kwa unafiki bwana. Hapo amevimbiwa maposho na yeye na familia yake haijakosa lolote ndiyo maana anasema hivyo. Hajui kuna watu wanafanya kweli kweli na kula yao ni ya shida iliyosababishwa na malipo makubwa na huduma wanazopewa wao."Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo."
- Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, katika hafla ya kuagwa rasmi jeshini.
CC: swahilitimes
EhhNamtabiria ubunge huko mbeleni
Huwezi kuichukia Tanzania wakati unaramba asali.., hautaona baya la aina yeyote.
Unaipenda Tanzania kwa kuwa umeshiba.
Huku watu hawajui hata wanaishi nchi gani
Wasukuma ni watu makini sana, tutawapa tena nchi"Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo."
- Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, katika hafla ya kuagwa rasmi jeshini.
CC: swahilitimes
Nimetamani ningeandika mmAcha kabisa, tozo juu, mafuta juu, vifaa vya ujenzi juu, afya iko ghali, unapenda kinachokupenda yaani tanzania yenyewe haitupendi tunaipendaje kwa mfano? Viongozi wetu wanapenda kutushauri sana yeye hapo na familia yake hana shida kila mwezi analamba pension asilimia 80% ya mshahara wa cdf aliepo madarakani, ulinzi kama kawaida, mafuta ya gari, na bado kila miaka mitatu atapewa gari mpya ya hadhi ya cdf aliepo madarakani, kateuliwa kua mwenyekiti wa bodi huko ngorongoro, atagombea ubunge kwao magu atapata na atalamba uwaziri, 2026 huyu ataachaje kuipenda nchi yake.
Inaitwa copy and paste, omba haki milkiNimetamani ningeandika mm
Au ndo ile event niliyoiona leo pale kwenye kota za jeshi mwenge TRAAcha kabisa, tozo juu, mafuta juu, vifaa vya ujenzi juu, afya iko ghali, unapenda kinachokupenda yaani tanzania yenyewe haitupendi tunaipendaje kwa mfano? Viongozi wetu wanapenda kutushauri sana yeye hapo na familia yake hana shida kila mwezi analamba pension asilimia 80% ya mshahara wa cdf aliepo madarakani, ulinzi kama kawaida, mafuta ya gari, na bado kila miaka mitatu atapewa gari mpya ya hadhi ya cdf aliepo madarakani, kateuliwa kua mwenyekiti wa bodi huko ngorongoro, atagombea ubunge kwao magu atapata na atalamba uwaziri, 2026 huyu ataachaje kuipenda nchi yake.
Mwenyezi Mungu akubariki sana Mkuu wetu wa Majeshi ya Ulinzi mstaafu. Jenerali Mabeyo na wakuu wetu wengine wa vyombo vya usalama historia ya taifa hili itawaandika kwa wino wa dhahabu."Mimi nimestaafu lakini moyo wangu ni Tanzania, na mimi nawashauri Watanzania kuipenda Tanzania. Ukiipenda Tanzania, utaitumikia Tanzania, na ndio itapata maendeleo."
- Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, katika hafla ya kuagwa rasmi jeshini.
CC: swahilitimes