Jenerali Mabeyo: Moyo wangu ni Tanzania

Jenerali Mabeyo: Moyo wangu ni Tanzania

Katiba mpya ipatikane KWANZA Ili iwalinde wazalendo wenye Moyo wa utanzania!
Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA!
 
Ukiwa Mstaafu Muajiriwa lazima uipende Tanzania, kula bure, pensheni bila longo longo, marupurupu ya Ngorongoro unaachaje kuipenda Tanzania chini ya uongozi wa Mama yetu
 
Anatafuta ukuu wa Wilaya au mkoa au kitengo kwenye taasisi za kiserikali,wastaafu wengi huuogopa sana mtaa kiasi inabidi wajichoreshe choreshe kwenye media na kauli za kujifanya bado wana uchungu wa kulitumikia taifa ili waonekane wapewe kazi.
Anatafuta wakati ameshapewa tayari siku aliyostaafu
 
Mwanangenya wewe Shujaa!! bila wewe angeapishwa Mrundi.
 
Back
Top Bottom