Ukiwa Mstaafu Muajiriwa lazima uipende Tanzania, kula bure, pensheni bila longo longo, marupurupu ya Ngorongoro unaachaje kuipenda Tanzania chini ya uongozi wa Mama yetu
Anatafuta ukuu wa Wilaya au mkoa au kitengo kwenye taasisi za kiserikali,wastaafu wengi huuogopa sana mtaa kiasi inabidi wajichoreshe choreshe kwenye media na kauli za kujifanya bado wana uchungu wa kulitumikia taifa ili waonekane wapewe kazi.