Akizungumza leo Septemba 15, 2026 katika mjadala wa Siku ya Demokrasia, Jenerali Ulimwengu amesisitiza kuwa ili kuwajenga vijana na kulinda demokrasia, ni lazima kusema iseme ukweli na kudai uwajibikaji badala ya kuendelea na mazoea pale mambo yanapokwenda ndivyo sivyo.
Katika mjadala huo, Ulimwengu amehoji uhalali na chanzo cha takwimu za matokeo ya uchaguzi zilizowasilishwa, ambapo kwa upande wake hajaafiki kama Uchaguzi ulifanyika 2025, kwani hata kwenye tovuti ya Tume ya Uchaguzi hakuna takwimu ya matokeo ya uchaguzi ulivyokuwa