Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la vijana wa sasa kunyweshwa ujinga wa kuaminishwa msema kweli ni adui, hii ilikuwepo wakati wa Nyerere na inajirudia sasa. Ulimwengu alikulia ndani ya vijana wa CCM na miaka hii sijawahi kumsikia kwenye siasa za vyama vyovyote. Wanaokurupuka kuandika ndio kwanza wanamsikia wakidhani anadandia siasa za Tanzania! Nawashauri vijana kabla ya kumuandika tafuteni machapisho ya miaka ya 70 mpaka sasa ili mumfahamu mtu mnayetaka kumuandika.Humjui Jenerali Twaha wewe,hasumbuliwi na nadharia zako zote ulizo ziodhoresha hapo
Jenerali hakuanza leo,kama umepevuka utakumbuka hata Mkapa alitaka kumsingizia hakuwa raia kwa kusema ukweli
Jamaa amenyoka kama sn hatishwi na mtuHumjui Jenerali Twaha wewe,hasumbuliwi na nadharia zako zote ulizo ziodhoresha hapo
Jenerali hakuanza leo,kama umepevuka utakumbuka hata Mkapa alitaka kumsingizia hakuwa raia kwa kusema ukweli
Huyu mzee yupo smart sn hana njaaTatizo la vijana wa sasa kunyweshwa ujinga wa kuaminishwa msema kweli ni adui, hii ilikuwepo wakati wa Nyerere na inajirudia sasa. Ulimwengu alikulia ndani ya vijana wa CCM na miaka hii sijawahi kumsikia kwenye siasa za vyama vyovyote. Wanaokurupuka kuandika ndio kwanza wanamsikia wakidhani anadandia siasa za Tanzania! Nawashauri vijana kabla ya kumuandika tafuteni machapisho ya miaka ya 70 mpaka sasa ili mumfahamu mtu mnayetaka kumuandika.
Ukweli mimi naamini kuna tatizo kwenye makuzi hasa ya utambuzi ya vijana wengi wa kizazi hiki. Nikiwa mdogo kipindi cha Nyerere niliona vijana wa UDSM wakiwa kwenye maandamano ya kupinga wabunge kujiongezea mishahara na marupurupu? Walichora mabango yenye picha ya mkulima akiwa amebeba jembe na mavazi duni pembeni kukiwa na Mbunge mwenye kitambi kikubwa huku mrija wa ukiunganiswa kutoka tumbo la mkulima kwenda kwenye tumbo la mbunge.Tatizo la vijana wa sasa kunyweshwa ujinga wa kuaminishwa msema kweli ni adui, hii ilikuwepo wakati wa Nyerere na inajirudia sasa. Ulimwengu alikulia ndani ya vijana wa CCM na miaka hii sijawahi kumsikia kwenye siasa za vyama vyovyote. Wanaokurupuka kuandika ndio kwanza wanamsikia wakidhani anadandia siasa za Tanzania! Nawashauri vijana kabla ya kumuandika tafuteni machapisho ya miaka ya 70 mpaka sasa ili mumfahamu mtu mnayetaka kumuandika.
Mtoa mada upeo wako ni mdogo sanaVijana wanapaswa kujifunza kufanya kila jambo kwa wakati sahihi. Kuna umri ukifika unapaswa kujizuia baadhi ya mambo.
View attachment 2290872
View attachment 2290867
Twaha Ibikizimana katika ubora wake
Nyerere mwenyewe alikuwa na asili huko rwandaTatizo ulimwengu alijiona ni sehemu ya system Nyerere pamoja na kujua kasoro zake za uraia Bado alimbeba, Sasa ahamini kama Ile influence haipo Tena anabaki kushambulia hadi marehemu.
Vijana wa vyuo vikuu hivi sasa uelewa wao wa mambo nje ya darasa hautofautiani na vijana wa shule za sekondari, huwa nikiwaona wanavyuo wetu ninakumbuka lile shindano la vyuo vikuu Afrika Mashariki(East Africa University Challenge) ambalo miaka yote Tanzania tulikuwa tukishika mkia! Wanafunzi hawa wa vyuo wanapewa senti na wanasiasa huko vyuoni kisha wanajikusanya kupiga picha kuwa wamehama chama hiki na kujiunga na chama kile! Ni jambo la kijinga kwa wanavyuo kufanya.Ukweli mimi naamini kuna tatizo kwenye makuzi hasa ya utambuzi ya vijana wengi wa kizazi hiki. Nikiwa mdogo kipindi cha Nyerere niliona vijana wa UDSM wakiwa kwenye maandamano ya kupinga wabunge kujiongezea mishahara na marupurupu? Walichora mabango yenye picha ya mkulima akiwa amebeba jembe na mavazi duni pembeni kukiwa na Mbunge mwenye kitambi kikubwa huku mrija wa ukiunganiswa kutoka tumbo la mkulima kwenda kwenye tumbo la mbunge.
Walipigwa na kusambaratishwa na polisi lakini ujumbe ulifika.
Hawa chawa, kunguni na viroboto (vijana) wa siku hizi hakuna kitu watafanya,
Bahati mbaya umedakia maneno usiyoweza kuthibitisha, ni kweli makabila mengi ni wahamiaji lakini la Nyerere halina ukweliNyerere mwenyewe alikuwa na asili huko rwanda
Serikali awamu ya 5 ulitaka asikike wapi! Muulize Mello alifanywa nini, JF ilikuwa ukiandika kuhusu CCM na serikali Mods hawaweki Post yako na Ban juu, leo umesikia Ban yoyote? Mimi binafsi nilipigwa Ban mara kadhaa. Redio na magazeti uoga ndio ulikuwa wimbo wao, ukiongea na ukaanza kuisema CCM au serikali hata jambo ambalo si baya wanakukata! Sasa ulitaka aseme kupitia wapi?Kuna watu wanamjenga kwenye wasifu na umbo la kwamba, yeye si muoga. Lakini ukweli ni kuwa, yeye ni muoga tangu mwanzo ya awali. Alipokuwa akisoma Tabora Boys alijibatiza jina kama jenerali ulimwengu huku yeye majina yake ya Twaha Halfan Ikibizimana akiyatupa kwenye kaburi la sahau. Sasa hatujui iwapo na uraia wake wa asili aliukana kama sheria za nchi zilivyo. Au yeye ni kati ya wanaNzengo wenye uraia pacha nyemela.
Lkn pili, yeye ni muoga kwa maana katika serikali ya awamu ya 5, alikuwa hasikiki kana kwamba alikuwa mfu tayari au alisafiri. Hizo ni thibati kwamba yeye ni muoga.
Kuna watu wanamjenga kwenye wasifu na umbo la kwamba, yeye si muoga. Lakini ukweli ni kuwa, yeye ni muoga tangu mwanzo ya awali. Alipokuwa akisoma Tabora Boys alijibatiza jina kama jenerali ulimwengu huku yeye majina yake ya Twaha Halfan Ikibizimana akiyatupa kwenye kaburi la sahau. Sasa hatujui iwapo na uraia wake wa asili aliukana kama sheria za nchi zilivyo. Au yeye ni kati ya wanaNzengo wenye uraia pacha nyemela.
Lkn pili, yeye ni muoga kwa maana katika serikali ya awamu ya 5, alikuwa hasikiki kana kwamba alikuwa mfu tayari au alisafiri. Hizo ni thibati kwamba yeye ni muoga.
Ningekuwa Mungu ningefuta kizazi cha vijana wa Tanzania na kuleta wapya watakaokuwa mentored na Jenerali ulimwengu. Tumebaki na kunguni, chawa na viroboto wa mamlaka,Vijana wanapaswa kujifunza kufanya kila jambo kwa wakati sahihi. Kuna umri ukifika unapaswa kujizuia baadhi ya mambo.
View attachment 2290872
View attachment 2290867