Wanahistoria wanasema Wangoni ni Wazulu wa Afrika ya Kusini.Bahati mbaya umedakia maneno usiyoweza kuthibitisha, ni kweli makabila mengi ni wahamiaji lakini la Nyerere halina ukweli
Imekaaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanahistoria wanasema Wangoni ni Wazulu wa Afrika ya Kusini.Bahati mbaya umedakia maneno usiyoweza kuthibitisha, ni kweli makabila mengi ni wahamiaji lakini la Nyerere halina ukweli
Jenerali anajiona na kuna watu wanamuona kwamba ana akili na hekima lakini ukweli ni kwamba hana. Ni mtu mwenye majuto yake ndani ambayo hataki kuyaweka wazi lakini yanajiweka wazi yenyewe kupitia matamko yake ya kulia lia. Anatamani nchi iendeshwe anavyotaka yeye au anavyotamani yeye. Ana assume ana influence wakati hana hata kidogo.
Ndivyo ilivyo, wapo Malawi, Zambia, Zimbabwe Msumbiji na Afrika Kusini.Wanahistoria wanasema Wangoni ni Wazulu wa Afrika ya Kusini.
Imekaaje?
Unaishi zama za unafiki, hivyo yoyote asiyetoa sifa za kinafiki unamuona kama sio.
Tofautisha Kati ya mtu muoga na mtu 'calculating'!Kuna watu wanamjenga kwenye wasifu na umbo la kwamba, yeye si muoga. Lakini ukweli ni kuwa, yeye ni muoga tangu mwanzo ya awali. Alipokuwa akisoma Tabora Boys alijibatiza jina kama jenerali ulimwengu huku yeye majina yake ya Twaha Halfan Ikibizimana akiyatupa kwenye kaburi la sahau. Sasa hatujui iwapo na uraia wake wa asili aliukana kama sheria za nchi zilivyo. Au yeye ni kati ya wanaNzengo wenye uraia pacha nyemela.
Lkn pili, yeye ni muoga kwa maana katika serikali ya awamu ya 5, alikuwa hasikiki kana kwamba alikuwa mfu tayari au alisafiri. Hizo ni thibati kwamba yeye ni muoga.
hawezi kuwa na akili kuliko wengine.
ni mzee mmoja hivi anayejikuta anajua sana.
hata fatma karume baadhi yetu tuliwaambia watu ni mgonjwa mkaona ni wivu wa kike.
sasa hivi kila mtu amejua ni kwa namna gani yule mama ni mbabaishaji,jaweka uzanzibar kwenye harakati zake badala ya kusimamia anayoiita haki.
Hakika, MkuuBinti aliyevunja uongo juzi juzi tu hawezi kumpa ushauri wowote ule ulimwengu.
Makabila mengi ya Tanzania hasa sehemu za mpakani ni wahamiaji ndio maana Kuna wajaruo, wamasai Kenya na Tanzania,, wanyasa Malawi na Tanzania Kwa uchache sababu zamani kulikuwa hakuna mipaka kama sasaWanahistoria wanasema Wangoni ni Wazulu wa Afrika ya Kusini.
Imekaaje?
Kuna watu wanamjenga kwenye wasifu na umbo la kwamba, yeye si muoga. Lakini ukweli ni kuwa, yeye ni muoga tangu mwanzo ya awali. Alipokuwa akisoma Tabora Boys alijibatiza jina kama jenerali ulimwengu huku yeye majina yake ya Twaha Halfan Ikibizimana akiyatupa kwenye kaburi la sahau. Sasa hatujui iwapo na uraia wake wa asili aliukana kama sheria za nchi zilivyo. Au yeye ni kati ya wanaNzengo wenye uraia pacha nyemela.
Lkn pili, yeye ni muoga kwa maana katika serikali ya awamu ya 5, alikuwa hasikiki kana kwamba alikuwa mfu tayari au alisafiri. Hizo ni thibati kwamba yeye ni muoga.
Hatutakiwi mshambulia mzee wetu bali tuchukue mawazo yake,mzee anamadini Sana, sema tu mihemuko imetuzidi, mbona ukitafakari hakuna sehem ametukana, anasema ile kweli japo mafisadi ile kweli huwa hawapendi sikia,Vijana wanapaswa kujifunza kufanya kila jambo kwa wakati sahihi. Kuna umri ukifika unapaswa kujizuia baadhi ya mambo.
View attachment 2290872
View attachment 2290867
Unadhani njaa haimuoni!!!? Au unadhani njaa inamuogoga.? Kuna kanuni inasema baadhi ya njaa katika ulimwengu wa tatu zinamilikiwa na baadhi ya wachache ya watu katika limwegu za aina zote. Yawezekana naye yumo kwenye orodha ya wale baadhi ama hayumo!!! (Nawaza tu!!! )Huyu mzee yupo smart sn hana njaa
Wala sijasema asifie. Mimi najadili alivyo jenerali. Hakuna uhaba wa wasifiaji nchi hii.Unaishi zama za unafiki, hivyo yoyote asiyetoa sifa za kinafiki unamuona kama sio.
Wala sijasema asifie. Mimi najadili alivyo jenerali. Hakuna uhaba wa wasifiaji nchi hii.
Tukumbushane.Vijana wanapaswa kujifunza kufanya kila jambo kwa wakati sahihi. Kuna umri ukifika unapaswa kujizuia baadhi ya mambo.
View attachment 2290872
View attachment 2290867
Watanzania wanapenda kusifia hata mlevi mbwa asiyejitambua.Huyu Ni mlevi tu .Kama angekuwa na uwezo lazima Nyerere angenmpa hata cheo cha maana.Lakin hakuna kitu.Huyu ni Jaji wa Mamiss ,mlevi eti naye anaongea utumbo wake mnasema ,ana akili.Kama wenye akili hapa bongo ni Kama Ulimwengu Basi hatuwezi kuendelea.Tutabaki tukibwabwaja mitandaoniVijana wanapaswa kujifunza kufanya kila jambo kwa wakati sahihi. Kuna umri ukifika unapaswa kujizuia baadhi ya mambo.
View attachment 2290872
View attachment 2290867