Jenerali Ulimwengu anahitaji unasihi! According to Erick Erickson psychosocial development stages


Unaishi zama za unafiki, hivyo yoyote asiyetoa sifa za kinafiki unamuona kama sio.
 
hata fatma karume baadhi yetu tuliwaambia watu ni mgonjwa mkaona ni wivu wa kike.

sasa hivi kila mtu amejua ni kwa namna gani yule mama ni mbabaishaji,jaweka uzanzibar kwenye harakati zake badala ya kusimamia anayoiita haki.
 
Unaishi zama za unafiki, hivyo yoyote asiyetoa sifa za kinafiki unamuona kama sio.

hawezi kuwa na akili kuliko wengine.

ni mzee mmoja hivi anayejikuta anajua sana.
 
Kizazi hiki cha vijana wasiojua chochote isipokuwa uchawa tu matokeo yake ndio kuandika utumbo kama huu.
 
Tofautisha Kati ya mtu muoga na mtu 'calculating'!
😅
 
hata fatma karume baadhi yetu tuliwaambia watu ni mgonjwa mkaona ni wivu wa kike.

sasa hivi kila mtu amejua ni kwa namna gani yule mama ni mbabaishaji,jaweka uzanzibar kwenye harakati zake badala ya kusimamia anayoiita haki.

Ugonjwa Wake ni upi? Kwani kutofautiana na watu kwenye mitazamo kadhaa ndio ukichaa? Au unadhani hatujui hoja zake ni zipi, na ni wapi anatofautiana na wengine? Kwa binadamu kutofautiana ni jambo la kawaida, na sio ukichaa kama unavyotaka kupotosha.
 
Wanahistoria wanasema Wangoni ni Wazulu wa Afrika ya Kusini.
Imekaaje?
Makabila mengi ya Tanzania hasa sehemu za mpakani ni wahamiaji ndio maana Kuna wajaruo, wamasai Kenya na Tanzania,, wanyasa Malawi na Tanzania Kwa uchache sababu zamani kulikuwa hakuna mipaka kama sasa
 

Wewe ni mfano mzuri wa idiot and I guess the way you write, a goat sucked the breasts of your mother before you were born. Tunaongelea mambo ya msingi, idiot anaongelea majina na uraia wa mtu
 
Ha
Vijana wanapaswa kujifunza kufanya kila jambo kwa wakati sahihi. Kuna umri ukifika unapaswa kujizuia baadhi ya mambo.

View attachment 2290872
View attachment 2290867
Hatutakiwi mshambulia mzee wetu bali tuchukue mawazo yake,mzee anamadini Sana, sema tu mihemuko imetuzidi, mbona ukitafakari hakuna sehem ametukana, anasema ile kweli japo mafisadi ile kweli huwa hawapendi sikia,
Hawa ni wazee wanaifaham nchi vizuri, tukiwatumia vizuri tutanufaika, ebu tuache unafiki, na kutojitambua
 
Huyu mzee yupo smart sn hana njaa
Unadhani njaa haimuoni!!!? Au unadhani njaa inamuogoga.? Kuna kanuni inasema baadhi ya njaa katika ulimwengu wa tatu zinamilikiwa na baadhi ya wachache ya watu katika limwegu za aina zote. Yawezekana naye yumo kwenye orodha ya wale baadhi ama hayumo!!! (Nawaza tu!!! )
 
Kwa kifupi Taifa letu limegawanyika katika makundi matatu.
Kundi la kwanza ni lile linalotaka kuenbdelezwa kwa siasa za "Zidumu fikra za Mwenyekiti"
Kundi la pili ni lile lenye kutaka mabadiliko ya kupeana nafasi ya kuwaza upya na kisasa kutafuta ufumbuzi wa matatizo yetu ili kupata njia ya kutukwamua kiuchumi na kisayansi.
Kundi la tatu halina habari yoyote mpya na halijui kinachoendelea.
Sitatoa conclusion ila tuendelee kutafakari ni wapi tumekwama! Kundi gani limekwamisha maendeleo?
 
Unaishi zama za unafiki, hivyo yoyote asiyetoa sifa za kinafiki unamuona kama sio.
Wala sijasema asifie. Mimi najadili alivyo jenerali. Hakuna uhaba wa wasifiaji nchi hii.
 
Wa
Vijana wanapaswa kujifunza kufanya kila jambo kwa wakati sahihi. Kuna umri ukifika unapaswa kujizuia baadhi ya mambo.

View attachment 2290872
View attachment 2290867
Watanzania wanapenda kusifia hata mlevi mbwa asiyejitambua.Huyu Ni mlevi tu .Kama angekuwa na uwezo lazima Nyerere angenmpa hata cheo cha maana.Lakin hakuna kitu.Huyu ni Jaji wa Mamiss ,mlevi eti naye anaongea utumbo wake mnasema ,ana akili.Kama wenye akili hapa bongo ni Kama Ulimwengu Basi hatuwezi kuendelea.Tutabaki tukibwabwaja mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…