Hivi kumbe na wewe ni CCM.No wonder hatuna CCM mwenye akili zakeAskofu wa Chadema Benson Bagonza nae ana kiherehere sana, si agombee tu ubunge maana kaacha kutoa verses za dini sasa kazi yake ni siasa kila kukicha. Benson hajui yeye ni askofu, kachanganikiwa, sasa ni mwanasiasa wa Chadema. Anakesha kutunga sentensi na tungo tata za siasa against CCM tu.
Nakurudisha huko huko kwenye akademia. Kuna mtu alipata Nobel prize akiwa na publication 2 tu, tena za sayansi mpya duniani, Physical Chemistry! Lakini kuna watu wana publication 100 hawajawahi hata kupendekezwa kupata prize hiyo. Ni ishara kwamba sehemu kubwa ya publications ni rubbish!Katika academic world, akili unaipima kwa number of publications in peer reviewed journals and journal ranking...uki publish kwenye Nature, Science and the like, then wewe una akili. Au wasemaje Mchunguzi
Anawapiga kwenye mshono.Amewagonga kisawasawa
Sio level yako mkuu,wewe kawasome kina Kibajaj Lusinde!Ulimwengu anapaswa astaafu na apumzike. Yeye alishakuwa kiongozi mkubwa serikalini na hakuna alichofanya na vizazi vya eneo husika kumkumbuka. Ni sawa na Jaji Waryoba..wapiga kelele. Askofu anapenda kick na makofi.
Labda usema Ni mtusi..sijui Kama wahutu unawajua au umeamua kuandika kwa chuki tu..Huyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!
Wiki hii ulianza kutoa maoni mazuri lkn naona unarudi kule kule.Huyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!
Wewe ni kilazaUlimwengu anapaswa astaafu na apumzike. Yeye alishakuwa kiongozi mkubwa serikalini na hakuna alichofanya na vizazi vya eneo husika kumkumbuka. Ni sawa na Jaji Waryoba..wapiga kelele. Askofu anapenda kick na makofi.
Hivi huyu Askofu Bagonza anawahudumia kweli wale watoto wake wa nje ya ndoa?MWANDISHI wa Habari Mkongwe, Jenerali Ulimwengu leo Septemba 21,2021 amezindua Kitabu chake RAI YA JENERALI jijini Mwanza na kuhudhuriwa na Askofu Benson Bagonza.
𝗛𝗔𝗬𝗔 𝗡𝗜 𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗬𝗔𝗪𝗔𝗟𝗜𝗬𝗢𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗪𝗔 𝗨𝗭𝗜𝗡𝗗𝗨𝗭𝗜 𝗛𝗨𝗢....
"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8, lakini kina mawazo ya kufikiri yasiyozidi matatu" - Jenerali Ulimwengu
"Hakuna uwezekano wa kizazi chetu kupata maendeleo na kupiga hatua ikiwa kitaendelelea kufundishwa kwa lugha wasioijua na pia wale wanaowafundisha nao hawaijui hiyo lugha"- Jenerali Ulimwengu
"Hakuna swali la kijinga ila majibu ndo ya kijinga"- Jenerali Ulimwengu
𝗔𝘀𝗸𝗼𝗳𝘂 𝗕𝗲𝗻𝘀𝗼𝗻 𝗕𝗮𝗴𝗼𝗻𝘇𝗮
"Mwalimu Nyerere aliwahi kusema marais wazuri waongoze kwa vipindi viwili ili waondoke na uzuri wao, lakini marais wabaya wao wataondolewa na wananchi" - Askofu Bagonza
"Tabia ya watu kusifia viongozi waliopo madarakani kufanywe kama kosa la jinai ili kupunguza watu kujipendekeza kwa viongozi kupata uongozi"- Askofu Bagonza
"Watanzania wanahitaji katiba yenye uwezo wa kuweka na kuwaondoa viongozi madarakani badala ilivyo kwa sasa" - Askofu Bagonza
"Muujiza wa elimu ya Tanzania kiongozi akichaguliwa leo akiwa hajui kitu, akishaingia madarakani kesho yake anakuwa anajua kila kitu"- Askofu Bagonza
"Tunaupungufu mkubwa katika Taifa letu la watu wenye Fikra na Uthubutu; Wapo wenye Uthubutu lakini hawana Fikra, kuna watu unawaona wana Fikra lakini hawana Uthubutu. Makundi haya yanahitaji daraja kuyaunganisha" - Askofu Bagonza
"Aslimia 60 ya wabunge wa CCM waliopo bungeni kwa sasa hawakushinda kura za maoni ndani ya chama chao, hata wanachama wao wanajua na wanaona kabisa hawakuwachagua na hivyo wanaona siyo wa wabunge wao"- Askofu Bagonza
"Bunge la sasa lina utata, kuna mabunge mawili (2), moja lipo mdomoni mwa watu na lingiine lipo mioyoni mwa watu," -Askofu Bagonza
Chanzo; Nipashe Mwanga Wa Jamii #NipasheHabari
You are entitled to your opinion. Maybe you are also of Burundi genealogy who caresBy this post, You are portraying what Jenerali has mounted today! 8 million but only three ideas
Akili ya kubaguana kikabila na kuuana ni uhayawani. Haitapata nafasi nchini kwetu. Go to hellBurundi Wana akili kuliko nyinyi CCM
Kama unapublish kwenye journal ya impact factor ya 2, then......Nakurudisha huko huko kwenye akademia. Kuna mtu alipata Nobel prize akiwa na publication 2 tu, tena za sayansi mpya duniani, Physical Chemistry! Lakini kuna watu wana publication 100 hawajawahi hata kupendekezwa kupata prize hiyo. Ni ishara kwamba sehemu kubwa ya publications ni rubbish!
Uvccm ktk ubora wake! Leta hoja!!!Huyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!
Uwe unaelewa Mambo na wewe, Nobel criteria ya kupata Ni ipi? Discovery , a breakthrough Discovery.... Hivyo hata publication Moja inatosha, au hata presentation katika World class international conferences of your Discovery inatosha to be rewarded soNakurudisha huko huko kwenye akademia. Kuna mtu alipata Nobel prize akiwa na publication 2 tu, tena za sayansi mpya duniani, Physical Chemistry! Lakini kuna watu wana publication 100 hawajawahi hata kupendekezwa kupata prize hiyo. Ni ishara kwamba sehemu kubwa ya publications ni rubbish!
Watu waliosoma sayansi wanetuambia chanjo ya c-19 ni salama tumewbishia ameibuka mtu ambaye hakusoma sayansi katuambia chanjo haifai tumemwamini!! Sasa si afadhali asiyesoma sayansi anaamiwa Tanzania!!Nakurudisha huko huko kwenye akademia. Kuna mtu alipata Nobel prize akiwa na publication 2 tu, tena za sayansi mpya duniani, Physical Chemistry! Lakini kuna watu wana publication 100 hawajawahi hata kupendekezwa kupata prize hiyo. Ni ishara kwamba sehemu kubwa ya publications ni rubbish!
Ukorofi gani Tena jamani. Tamka neno lilivyo... milioni 8 lakini wana idea tatuRetired we mkorofi sasa
Tafsida we mzee
Hatusemi matako wazi… tunasema nguo haijasitiri maungo
Hilo nalo neno. Ndio hao idea tatu kwa milioni 60... WatanzaniaWatu waliosoma sayansi wanetuambia chanjo ya c-19 ni salama tumewbishia ameibuka mtu ambaye hakusoma sayansi katuambia chanjo haifai tumemwamini!! Sasa si afadhali asiyesoma sayansi anaamiwa Tanzania!!
Nimependa argument yako, Safi kabisaWatu waliosoma sayansi wanetuambia chanjo ya c-19 ni salama tumewbishia ameibuka mtu ambaye hakusoma sayansi katuambia chanjo haifai tumemwamini!! Sasa si afadhali asiyesoma sayansi anaamiwa Tanzania!!
Jibu hoja hatutaki virojaHuyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!