Jenerali Ulimwengu: Hakuna alietajirika kwa kucheza Kamari

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
“Tunaendelea na hicho kinachoitwa michezo ambacho kingetakiwa kiitwe kwa jina lake halisi, yaani kamari. Hakuna mtu aliyeweza kutajirika kwa kamari. Tuache kudanganywa na wajanja wachache wanaotajirika kupitia mgongo wetu. Acha kucheza kamari na iepuke kuliko ukoma na UKIMWI.” – Mwanahabari, Jenerali Ulimwengu

 
Mzee kateleza.Wahindi na wachina na pia watanzania wenye kampuni za kamari wanatajirika kila siku kwa kucheza kamari.
Kamari kuna anayecheza kwa kuwekeza na mteja anayecheza.Ni kulana kwa kwenda mbele.Wanaliwa na wanakula.
 
kuna zile za sportpesa walishinda jamaa wawili wakagawana pasu nao sio matajiri kweli
 
Kwaiyo jenelali ulimwengu Hilo ndo kalijua Leo?
 

Ni sahihi kabisa chezeni kamari watu milioni 20 anayekuja jubatika mmoja au hakuna kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…