Jenerali Ulimwengu: Hakuna alietajirika kwa kucheza Kamari

Jenerali Ulimwengu: Hakuna alietajirika kwa kucheza Kamari

“Tunaendelea na hicho kinachoitwa michezo ambacho kingetakiwa kiitwe kwa jina lake halisi, yaani kamari. Hakuna mtu aliyeweza kutajirika kwa kamari. Tuache kudanganywa na wajanja wachache wanaotajirika kupitia mgongo wetu. Acha kucheza kamari na iepuke kuliko ukoma na UKIMWI.” – Mwanahabari, Jenerali Ulimwengu

View attachment 2910018
Mzee anajua nn kuhusu kamali
 
Nichezavyo mm kamari ni huwa nacheza tshs 10k kila siku haipandi haishuki. Na hela ya kamari huwa nawanunulia washkaji bia au misosi .mfano kuna siku mwaka mpya nlicheza nkapata laki na nusu .fasta nkanunua kete za 20 .wife nkamtumia 40 ya pilau ya wanangu 3 .ilo 90 nkaagiza konyangi 2 kubwa na nyama kilo 4 ndizi kumi nkala na washkaj .hii imepelekea hata nkifulia nkija baa wahuni hawakubali nikose bia .
Mara nyingi naliwa ila kuna siku napiga pa elfu 60 .naenda fasta buchani nachukua kilo 4 na viungo kwa 40 nampa toyo ampelekee wife .naendeleankucheza.so kwangu ni starehe maana siichukulii serious
 
“Tunaendelea na hicho kinachoitwa michezo ambacho kingetakiwa kiitwe kwa jina lake halisi, yaani kamari. Hakuna mtu aliyeweza kutajirika kwa kamari. Tuache kudanganywa na wajanja wachache wanaotajirika kupitia mgongo wetu. Acha kucheza kamari na iepuke kuliko ukoma na UKIMWI.” – Mwanahabari, Jenerali Ulimwengu

View attachment 2910018
Huu ni ukweli kabisa
 
Baba unamuaga mkeo kuwa unaenda ofisi ya betting kubahatisha.

Life is real Si kubahatisha!!
Life lenyewe ni kamari tu, yaani everything we do ni kubahatisha tu.

Imagine you wake up in the morning, unaenda kazini hujui nini kitakupata huko, ni bahati nasibu tu....hata kurudi home ni bahati tu.
 
Basi aiambie Serikali ipige marufuku,Serikali yenyewe inaingiza kodi kubwa sana kupitia kamari
 
Back
Top Bottom