PreGE2025 Jenerali Ulimwengu: Hali ya Siasa Tanzania ni mbaya sana,Uchaguzi hufanyika kimaigizo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sina la kuchangia zaidi ya kusema sitashiriki uchaguzi wowote mpaka mabadiliko ya katiba na tume huru ya uchaguzi itakapopatikana. Vinginevyo nipo tayari kufa.
Umeeleka zaidi katika maneno manne ya mwisho yaliyo hitimisha mchango wako. Ni heshima kubwa ikilazimu kufa kwa kuitetea Tanzania.
 
View: https://youtu.be/eYqrDjwkZ1E?si=IAwIBaBwF_ZH9Mes

Redio DW ya Ujerumani leo mchana imeutangazia ulimwengu kwamba hali ya siasa Tanzania ni mbaya sana.

Akifanyiwa mahojiano mwanasheria na mchambuzi wa siasa Jenerali Ulimwengu amesema hali hiyo imechochewa na kufunguliwa kwa mashitaka ya uhaini mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu.

Ameongeza chaguzi zilizofanyika 2019, 2020, 2024 na huu wa 2025 hauna tofauti na enzi za ukoloni kwani mshindi anakuwa ameshajulikana.

Na wao wanajua kama wanafanya maigizo
 
Screenshot_2025-04-17-13-13-21-1.png
 
CCM muwe na AIBU na STAHA..kuwa na Staha ndio Ubinadamu wenyewe..kukosa ni kwamba mmekuwa wanyama

Leteni uchaguzi huru na wa haki na sio UCHaFUZI
 
Ukiona mpizani yeyote ama chama ambacho kinabeza No reforma No Election - huyo ni Mnafiki na chama chake ni cha kinafiki..anajali tumbo lake lishibe na hatufai kabisa kabisa ni wa kuogopa kama ukoma.

@ Zitto Kabwe na ACT yake wamewasaliti watanganyika vibaya mno akataliwe duniani na mbinguni.
 
Hicho chama ni Wale wale.

Zitto hajali kabisa watu waliokufa na kuteswa wakati wa uchaguzi.
Hizi siasa mapandikizi ni wengi kuliko wakweli.
 
View: https://youtu.be/eYqrDjwkZ1E?si=IAwIBaBwF_ZH9Mes

Redio DW ya Ujerumani leo mchana imeutangazia ulimwengu kwamba hali ya siasa Tanzania ni mbaya sana.

Akifanyiwa mahojiano mwanasheria na mchambuzi wa siasa Jenerali Ulimwengu amesema hali hiyo imechochewa na kufunguliwa kwa mashitaka ya uhaini mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu.

Ameongeza chaguzi zilizofanyika 2019, 2020, 2024 na huu wa 2025 hauna tofauti na enzi za ukoloni kwani mshindi anakuwa ameshajulikana.

Nani katufikisha kwenye uchaguzi wa maigizo? Ni wanasiasa uchwara wanaotumia siasa kupata utajiri.
 
Back
Top Bottom