Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwana...Mzee kumbe na wewe ni 'mtata'[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Muuza Viatu,Bila kumsahau Maalim Said
Km ww unaamin utaishia sehemu ya kuegesha magar unamaanisha sis wengine hatuna vigezo hata vya kuingia ktk huo mtaa wenye hilo tukioMuuza Viatu,
Mimi siingii club hiyo naishia nje sehemu ya kuegesha magari.
Nimejifunza kitu hapa mzee Said, sikujua kwenye uandishi herufi kubwa unakuwa unapiga kelele!Bulesi,
Tumia herufi ndogo,
Herufi kubwa maana yake unapiga kelele.
Muuza Viatu,Km ww unaamin utaishia sehemu ya kuegesha magar unamaanisha sis wengine hatuna vigezo hata vya kuingia ktk huo mtaa wenye hilo tukio
Last...Nimejifunza kitu hapa mzee Said, sikujua kwenye uandishi herufi kubwa unakuwa unapiga kelele!
Last...Mzee Said, sio kawaida yako kufichaficha mambo, alisema nini? Mbona husemi alitamka Nini na nini katika hafla ile, mpaka akafungwa speed gavana?
Mina...Sijui kwann ila napenda aina ya uandisho wako Mola awe nawe
Last...
Alikuwa anataka kugusia uchaguzi wa 2020.