Jenerali Ulimwengu: Kuwa Mtumishi wa Serikali Hakumaanishi Una Akili Kuliko Wananchi

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,427
Reaction score
4,944
Ni katika kuadhimisha miaka 20 ya shirika la Haki Elimu.

Ameshauri watumishi wa serikali waachane na kasumba ya kuamini kwamba kuwa kwao katika utumishi serikalini basi ni wao tu wenye akili kuliko wananchi wa kawaida.

Martha Qoro (PhD) ameshauri juu ya kuongeza wigo wa kujifunza lugha mbalimbali ili kuendana na mazingira ya sasa. Ameshauri Kiingereza na lugha zingine za kigeniziwe lugha za kuongezea katika lugha yetu ya Kiswahili na lugha zetu za asili.
Ameongeza 'hakuna hata utafiti mmoja uliofanywa na kuthibitisha kuwa Kiswahili kiwe lugha yetu rasmi ya kufundishia.
 
Watumishi wengi wa serikali wana elimu ya kuunga unga huu ndio ukweli ukifatilia wengi waliingia kipindi cha Mwinyi na Mkapa.

Na hawa wengi wenye elimu za mashaka ndio wanabana vijana wasipewe kazi serikalini.

Imagine mpaka nchi inampata Rais mwenye elimu ya kuunga unga.

Wanasoma soma tu vikozi na Ku attach kwenye CV zao Ila kichwani hamna kitu

Lengo ni kugombania kupanda vyeo huko maofisini aisee yaani kiufupi hamna kitu.

Ukifatilia waliongia fresh from college/ university ni 10% tu ya watumishi wa umma

Maneno ya professor Assad ya ile 60% inazidi kuonekana

Case study ni Bunge.

Ulimwengu ana hoja ya msingi.
 
Sasa Mkuu si ungekuja kutusemea DM,ona sasa unatudharirisha watumishi wa umma 😂😂😂
 
Ukifanyika utafiti rasmi, kulinganisha uwezo wa kiakili wa watumishi wa serikali na wasio serikalini, kuna uwezekano mkubwa wale wa serikalini wakawa chini zaidi.
Sababu kubwa ikiwa ni kwamba muda mwingi watumishi wa serikali hawatumii akili zao kwa uhuru (wanategemea zaidi maelekezo na amri kutoka juu).
 
Watumishi wengi wa serikali wana elimu ya kuunga unga huu ndio ukweli ukifatilia wengi waliingia kipindi cha Mwinyi na Mkapa.

Na hawa wengi wenye elimu za mashaka ndio wanabana vijana wasipewe kazi serikalini.

Imagine mpaka nchi inampata Rais mwenye elimu ya kuunga unga.

Wanasoma soma tu vikozi na Ku attach kwenye CV zao Ila kichwani hamna kitu

Lengo ni kugombania kupanda vyeo huko maofisini aisee yaani kiufupi hamna kitu.

Ukifatilia waliongia fresh from college/ university ni 10% tu ya watumishi wa umma

Maneno ya professor Assad ya ile 60% inazidi kuonekana

Case study ni Bunge.

Ulimwengu ana hoja ya msingi.
Mkuu mbona unamsema Raisi elimu elimu Tu haijalishi umeipataje.

Hata kama MTU aliajiriwa Form 4 Akaona hapana Acha nijiendeleze nalo pia nikosa
 
Ni katika kuadhimisha miaka 20 ya shirika la Haki Elimu.

Ameshauri watumishi wa serikali waachane na kasumba ya kuamini kwamba kuwa kwao katika utumishi serikalini basi ni wao tu wenye akili kuliko wananchi wa kawaida.

Martha Qoro (PhD) ameshauri juu ya kuongeza wigo wa kujifunza lugha mbalimbali ili kuendana na mazingira ya sasa. Ameshauri Kiingereza na lugha zingine za kigeniziwe lugha za kuongezea katika lugha yetu ya Kiswahili na lugha zetu za asili.
Ameongeza 'hakuna hata utafiti mmoja uliofanywa na kuthibitisha kuwa Kiswahili kiwe lugha yetu rasmi ya kufundishia.
Mzee yupo na akili nyingi Sana,
 
Haya ni maoni, so far as it goes, maoni binafsi. Kila mtu ana maoni yake. Haki Elimu ni msoni same as as everyone hakuna mwenye monopoly. Usiwabeze viongozi, wamesoma. Kitabu cha Nyerere (3) mmekiharibu, activists, Marxists, nihilists, it is compleleletey differenent from who the man is is . Cha Mkapa anejimwambafy, akirikiri makosa kila mahali, shameless, with impunity. Akijivunia magazeti ya Kenya, half backed chestbeating, anaongea juu juu tu kuhusu ya Papa, just in passing, ili ajisifie kwa Aga Khan. My hero is Mwinyi.
 
Watumishi wengi wa serikali wana elimu ya kuunga unga huu ndio ukweli ukifatilia wengi waliingia kipindi cha Mwinyi na Mkapa.

Na hawa wengi wenye elimu za mashaka ndio wanabana vijana wasipewe kazi serikalini.

Imagine mpaka nchi inampata Rais mwenye elimu ya kuunga unga.

Wanasoma soma tu vikozi na Ku attach kwenye CV zao Ila kichwani hamna kitu

Lengo ni kugombania kupanda vyeo huko maofisini aisee yaani kiufupi hamna kitu.

Ukifatilia waliongia fresh from college/ university ni 10% tu ya watumishi wa umma

Maneno ya professor Assad ya ile 60% inazidi kuonekana

Case study ni Bunge.

Ulimwengu ana hoja ya msingi.
Ili tuelekee kule wenzetu waliko lazima tuwapate viongizi wakuu ambao wamesoma moja kwa moja kutoka chekechea, shule ya msingi, form four, form six hadi vyuo vikuu bila kupinda pinda Wala kuungaunga. Vinginevyo tutaungaunga sana. Watumishi walioungaunga elimu ni wabishi, wagumu kuelewa, wagumu kushauliwa, na wabishi kuamua.
 
Back
Top Bottom