Jenerali Ulimwengu: Siyo kila anayetangazwa kateuliwa na Rais, wengine ni Wateule wa "Influencers" Rais anaweka saini tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mzee Jenerali Ulimwengu anasema tukiamini Rais ndiye anateua Wakuu wa Mikoa wote, Wakuu wa wilaya wote, Wakurugenzi wote tutakuwa tunajidanganya tu kwa Sababu hakunaga Rais mwenye Uwezo huo.

Rais hupelekewa orodha na yeye huenda akawa anawafahamu baadhi tu hivyo wanaotengeneza orodha ndio wanajua huyu ni wa nani na yule ni wa nani.

=======

Source: The Chanzo

===

Pia soma:

- Nani hufanya vetting pindi Rais akihitaji kupata kiongozi?

- Swali muhimu: Anayefanya Uteuzi ni Rais Samia au Idara ya Usalama wa Taifa?
 
Vyovyote vile ilivyo, hiyo haimpi udhuru wa kutokufanya due dilligence inayotakiwa maana mwisho wa siku jina lake [yeye rais] ndilo litakuwepo kwenye karatasi kuonyesha kwamba yeye ndiye aliyefanya huo uteuzi.
Ndio mtengeneze Katiba ya JMT ya Nyakati hizi
 
Basi JPM alikuwa akipelekewa majina anawafuatilia kwanza na kuna uwezekano wengi alikuwa anawapuga chini..maana nakumbuka alikuwa anatusimulia hadi historia zao walipotokea.
😂😂😂

Yule alikuwa mwanasayansi
 
Kuna haja suala la Lupa ikulu itoke ilizungumzie ili, kabla familia ya Lupa haijalizungumzia.
Kuna haja police kuliweka ili suala sawa manake mzee ulimwengu japo hajamtaja Lupa direct ila amejaribu kuweka sawa kwahyo serikali ilitolee ufafanuzi
 
Vyovyote vile ilivyo, hiyo haimpi udhuru wa kutokufanya due dilligence inayotakiwa maana mwisho wa siku jina lake [yeye rais] ndilo litakuwepo kwenye karatasi kuonyesha kwamba yeye ndiye aliyefanya huo uteuzi.
Ndo maana kuna taasisi zinazomsaidia rais kufanya majukumu hayo tatizo ni uadilifu wa watumishi waliopo kwenye hizo taasisi
 
Vyovyote vile ilivyo, hiyo haimpi udhuru wa kutokufanya due dilligence inayotakiwa maana mwisho wa siku jina lake [yeye rais] ndilo litakuwepo kwenye karatasi kuonyesha kwamba yeye ndiye aliyefanya huo uteuzi.
✍️📝👍👌👏👊🤝🙏🛡️
 
Mzee Jenerali Ulimwengu anasema tukiamini Rais ndiye anateua Wakuu wa Mikoa wote, Wakuu wa wilaya wote, Wakurugenzi wote tutakuwa tunajidanganya tu kwa Sababu hakunaga Rais mwenye Uwezo huo.

Rais hupelekewa orodha na yeye huenda akawa anawafahamu baadhi tu hivyo wanaotengeneza orodha ndio wanajua huyu ni wa nani na yule ni wa nani.

=======

Source: The Chanzo

===

Pia soma:

-
Nani hufanya vetting pindi Rais akihitaji kupata kiongozi?

- Swali muhimu: Anayefanya Uteuzi ni Rais Samia au Idara ya Usalama wa Taifa?
Kwa nini aweke saini bila kujiridhisha?
Hao influencers wako kitengo kipya alichokianzisha nani na sheria ipi?
 
Basi JPM alikuwa akipelekewa majina anawafuatilia kwanza na kuna uwezekano wengi alikuwa anawapuga chini..maana nakumbuka alikuwa anatusimulia hadi historia zao walipotokea.

JPM alikuwa rais na nusu ndiyo maana vilaza hawakumwelewa
 
Back
Top Bottom