johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jenerali Ulimwengu anasema ni kuanzia awamu zote za SerikaliSo in other words, she is a puppet.
Thatβs even more scarierβ¦..
Vyovyote vile ilivyo, hiyo haimpi udhuru wa kutokufanya due dilligence inayotakiwa maana mwisho wa siku jina lake [yeye rais] ndilo litakuwepo kwenye karatasi kuonyesha kwamba yeye ndiye aliyefanya huo uteuzi.Jenerali Ulimwengu anasema ni kuanzia awamu zote za Serikali
Ndio mtengeneze Katiba ya JMT ya Nyakati hiziVyovyote vile ilivyo, hiyo haimpi udhuru wa kutokufanya due dilligence inayotakiwa maana mwisho wa siku jina lake [yeye rais] ndilo litakuwepo kwenye karatasi kuonyesha kwamba yeye ndiye aliyefanya huo uteuzi.
πππBasi JPM alikuwa akipelekewa majina anawafuatilia kwanza na kuna uwezekano wengi alikuwa anawapuga chini..maana nakumbuka alikuwa anatusimulia hadi historia zao walipotokea.
Hata kwa katiba ya sasa kufanya due diligence inawezekana kabisa.Ndio mtengeneze Katiba ya JMT ya Nyakati hizi
Hamna rais anaweza kuwafahamu wote anaowateua hao wachache aliokuwa anasimulia historia zao ndo anaowafahamuBasi JPM alikuwa akipelekewa majina anawafuatilia kwanza na kuna uwezekano wengi alikuwa anawapuga chini..maana nakumbuka alikuwa anatusimulia hadi historia zao walipotokea.
Ndo maana kuna taasisi zinazomsaidia rais kufanya majukumu hayo tatizo ni uadilifu wa watumishi waliopo kwenye hizo taasisiVyovyote vile ilivyo, hiyo haimpi udhuru wa kutokufanya due dilligence inayotakiwa maana mwisho wa siku jina lake [yeye rais] ndilo litakuwepo kwenye karatasi kuonyesha kwamba yeye ndiye aliyefanya huo uteuzi.
βοΈππππππ€ππ‘οΈVyovyote vile ilivyo, hiyo haimpi udhuru wa kutokufanya due dilligence inayotakiwa maana mwisho wa siku jina lake [yeye rais] ndilo litakuwepo kwenye karatasi kuonyesha kwamba yeye ndiye aliyefanya huo uteuzi.
Kweli kabisaNdo maana kuna taasisi zinazomsaidia rais kufanya majukumu hayo tatizo ni uadilifu wa watumishi waliopo kwenye hizo taasisi
Kwa nini aweke saini bila kujiridhisha?Mzee Jenerali Ulimwengu anasema tukiamini Rais ndiye anateua Wakuu wa Mikoa wote, Wakuu wa wilaya wote, Wakurugenzi wote tutakuwa tunajidanganya tu kwa Sababu hakunaga Rais mwenye Uwezo huo.
Rais hupelekewa orodha na yeye huenda akawa anawafahamu baadhi tu hivyo wanaotengeneza orodha ndio wanajua huyu ni wa nani na yule ni wa nani.
=======
Source: The Chanzo
===
Pia soma:
- Nani hufanya vetting pindi Rais akihitaji kupata kiongozi?
- Swali muhimu: Anayefanya Uteuzi ni Rais Samia au Idara ya Usalama wa Taifa?
Ni nani aliyeweka watu wasikuwa waadilifu kwenye kitengo nyeti hivyo ama na yeye siyo muadilifu kama walivyo wao?Ndo maana kuna taasisi zinazomsaidia rais kufanya majukumu hayo tatizo ni uadilifu wa watumishi waliopo kwenye hizo taasisi
Basi JPM alikuwa akipelekewa majina anawafuatilia kwanza na kuna uwezekano wengi alikuwa anawapuga chini..maana nakumbuka alikuwa anatusimulia hadi historia zao walipotokea.
Cheti Feki Retired wa Chadema analia hadi leoJPM alikuwa rais na nusu ndiyo maana vilaza hawakumwelewa
We ulikuwa shoga lake kamfuate alipoJPM alikuwa rais na nusu ndiyo maana vilaza hawakumwelewa
Siyo uadilifu tu, na uelewa pia.Ndo maana kuna taasisi zinazomsaidia rais kufanya majukumu hayo tatizo ni uadilifu wa watumishi waliopo kwenye hizo taasisi