Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Wakiwa kwenye ma VXR V8, lenye kiyoyozi cha kukulaza, wanajisahau hawa wanasiasa.Ama kweli alie juu mngoje chini..
Ndungai pwaa chini kabisa na wale aliowatisha wanaandika Obituary huku yupo hai...
Maccm yote ni manafikiWengi husema Magufuli aliogopwa na wote isipokuwa Lissu na Mbowe aliposema anamuogopa Mungu pekee wakati wa utawala wa Magufuli.
Naamini Ulimwengu anajua vizuri huko CCM hakuna mwenye ubavu wa kumpinga mwenyekiti wao, hata huyu aliyepo ikulu sasa hakuthubutu kufungua mdomo wake kumpinga Magufuli huku naye pia sasa hawezi kupingwa na yeyote, unafiki ni tabia ya CCM.
Kwangu afadhali Ndugai kuna wakati aliongea, wengi huko CCM huamua kubaki kimya forever.
kwamba Ndugai ndiye Spika wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika historia ya taifa hili hilo halina ubishi ila ndio hao wanaofaidi "keki ya taifa... kwamba Ndugai ndiye Spika wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika historia ya taifa hili hilo halina ubishi ila ndio hao wanaofaidi "keki ya taifa", atatunzwa na serikali hadi atakapokufa hata mazishi yake yatagharimiwa na serkali. He is completely useless kama anavyosema Jenerali. Bila Katiba ya Wananchi tutaendelea kubaki hivi hivi.
Nakaziakwamba Ndugai ndiye Spika wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika historia ya taifa hili hilo halina ubishi ila ndio hao wanaofaidi "keki ya taifa
He is completely useless kama anavyosema Jenerali. Bila Katiba ya Wananchi tutaendelea kubaki hivi hivi.
Ni sawa, useless, fala, lofa ..LAKINIII... atafwaidi keki ya taifa kuliko ambaye si fala, ni useful na wala si lofa etc...... kwamba Ndugai ndiye Spika wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika historia ya taifa hili hilo halina ubishi ila ndio hao wanaofaidi "keki ya taifa", atatunzwa na serikali hadi atakapokufa hata mazishi yake yatagharimiwa na serkali. He is completely useless kama anavyosema Jenerali. Bila Katiba ya Wananchi tutaendelea kubaki hivi hivi.
Ngugai haonekani ?Kumbe pwaa.....ndugai sasa haonekani
Hakuna mtanzania asiye na msonho wa nawazo,ulimwengu na rungwe wana maisha mazuri kuliko unavyofikiria[emoji871]Ulimwengu anasumbuliwa na msongo wa mawazo kama Lissu na Lema.
[emoji871]Ulimwengu huwa haeleweki anasimamia nini?
[emoji871]Ulimwengu huwa namfananisha na Hashim Rungwe!
Spika Ndugai anaweza kumuita Jenerali katika kamati ya maadili.Muonyeni UlimwenguJenerali Ulimwengu amemaliza kutia yake ya moyoni kuhusu uspika wa Ndugai.
Amenena kuwa kumkosoa Mama Samia sasa hivi, wakati hakuwahi hata siku moja kumkosoa Magufuli, ni unafiki wa hali ya juu.
Haya siyasemi mimi Jidduzz, ya Jenerali Ulimwengu haya.
Na yuko spot on.
Wengine na wasikie, wamwache mama afanye kazi.