Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,864
- 5,695
Lisu kamtukana nani wewe Kibwetele hapo Lumumba? Kuna kesi yeyote ambayo Lissu amehukumiwa kwa kutukana mtu zaidi ya hizo kesi za michongo kufutwa baada ya kuona kuwa Lissu ni Akili kubwa?Lisu na Ulimwengu lao moja la kutukana wengine lakini hawana legacy yoyote watakayowaachia watanzania
Acha uzuzu dogo ukiandika kitu uwe unashirikisha ubongo wako na sio kuwatumia akana Kingai na Mahita decision zero. Mkiambiwa ukweli kuwa ni wajinga na huku mnafanya Mambo ya kijinga ndio mnakasirika?