Jenerali Ulimwengu: Spika Ndugai alikuwa mnafiki

Lisu na Ulimwengu lao moja la kutukana wengine lakini hawana legacy yoyote watakayowaachia watanzania
Lisu kamtukana nani wewe Kibwetele hapo Lumumba? Kuna kesi yeyote ambayo Lissu amehukumiwa kwa kutukana mtu zaidi ya hizo kesi za michongo kufutwa baada ya kuona kuwa Lissu ni Akili kubwa?

Acha uzuzu dogo ukiandika kitu uwe unashirikisha ubongo wako na sio kuwatumia akana Kingai na Mahita decision zero. Mkiambiwa ukweli kuwa ni wajinga na huku mnafanya Mambo ya kijinga ndio mnakasirika?
 
Ili asiendelee Kula Bure pesa za uma kwa kuendelea kutunzwa inabidi tuanze maombi tena
 
Nani kampa tena huyo mnyarwanda mic? Yeye ndio mnafiki kupita wote. Kutoka mwanamapinduzi feki wa kijamaa hadi mtetezi wa mabeberu wa kimataifa na ushoga kwa madai ya uhuru binafsi.😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…