triumvirate
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 206
- 374
Mimi kama Pumbavu La Mwisho (PLM) nakujibu kuwa maoni ni haki yake, yako na yangu. Haitabadirisha jinsi navyomuona yeye na wewe mfuasi wake.Yaani Wewe ndiyo pumbavu la Mwisho... Kuna Utawala ambao Jenerali hajawahi kutoa maoni Yake Ili kusahihisha njia?? Tangu Mwinyi Mwishoni Mkapa Kikwete Mpaka Magufuli... Na Sasa Samia
Regards
PLM