Rich Forever
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 467
- 469
kabisa mkuu kitu kipo safi tu ni service tu unapiga kidogoDaah. A very generous offer. Aliye na pesa aichukue fastaa.
yeah hiyo ndio maana yangu,umeme unaozalishwa unaweza sukuma welding machine 12 hours bila hilo generator kuzima?Haiwez. Hii n generator pekee. Lakn kama una mashine ya welding unaconnect kwenye umeme unaozalishwa na hlo Generator
top 2 na nusuKwa 1million nije kuchukua
Kwahyo cweztop 2 na nusu
milion mbili na nusu unachukua hapo imepungua sana tu mkuuKwahyo cwez
1.5m mkuu nije kuchukuamilion mbili na nusu unachukua hapo imepungua sana tu mkuu
Hii siyo busara kuponda biashara ya mwenzio ili utangaze ya kwako..Njoo ofisine nkupe generator zur na sound proof inayoweza kufanya hyo kaz kwa umakini mkubwa. N kva 20.
unaua sana mkuu hii kitu ipo fresh inapiga kazi bei ya kutupwa hiyo 2.51.5m mkuu nije kuchukua