INAUZWA Jenereta linauzwa KVA 20

INAUZWA Jenereta linauzwa KVA 20

Rich Forever

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
467
Reaction score
469
jenereta linauzwa masaki Dar es salaam ndipo linapopatikana KVA 20 lipo stoo limewekwa baada ya kununuliwa jingine engine ni LISTER PETER jina lake ni FG WILSON linawaka vizuri na kupiga kazi bei ni milion 3 maongez yapo kidogo.

Mawasiliano
0786956065

IMG-20210716-WA0025.jpg
IMG-20210716-WA0029.jpg
 
Haiwez. Hii n generator pekee. Lakn kama una mashine ya welding unaconnect kwenye umeme unaozalishwa na hlo Generator
 
Haiwez. Hii n generator pekee. Lakn kama una mashine ya welding unaconnect kwenye umeme unaozalishwa na hlo Generator
yeah hiyo ndio maana yangu,umeme unaozalishwa unaweza sukuma welding machine 12 hours bila hilo generator kuzima?
 
Njoo ofisine nkupe generator zur na sound proof inayoweza kufanya hyo kaz kwa umakini mkubwa. N kva 20.
 
Name: GENERATOR SOLUTION
Location:Tabata Dar es salaam
Kwa Huduma Bora na Uhakika. Karibu kwa Matatizo yoyote ya Generator lako.
●●Kama unauza au unataka kununua njoo ofisini kwetu. Pia tunafanya
■Maintenance service kwenye Engine na Ac alternator/Kinu.
■Overhaul Engine.
■Tunauza Body za Generator
■Motor rewinding
■Ac(Air Condition) Services and Fixing
Wasiliana na nasi kwa 0693296809 Call and Whatsapp. Karibuni sana
 
Mkuu... Mimi sio nmaponda Biashara ya mtu. Muuzaje mwenyewe hana Experience ya Generators. N vzur kabsa kumueleza mnunuzi/ Mpambanaji mwenzako juu ya ubora au Hasara za Generator la Aina hyo.
FAIDA ZA LISTER PETERS ENGINE
1. Ni imara sana
2. Services cost n ndogo.
3. Inauwezo wa kufanya kaz 24 hours
4. Cooling system iko poa.
4. Umeme inatoa vzur
HASARA ZA LISTER PETER ENGINE
1. Ina kunywa mafuta sana. Yenyewe n high speed engine(3500 had 4500)
2. Spare zake n ngumu kupata na ghali sana
3. Inaitaji sana special care
 
Back
Top Bottom