Jeneza la ajabu lililogunduliwa Alexandria, Misri lafunguliwa

Jeneza la ajabu lililogunduliwa Alexandria, Misri lafunguliwa

Khaaa kwa ninavyowajua wa Aksendaria wale usicheke wenyewe wanaiita hivyo Alexandria. Sasa hivi mji mzima kuanzia Manchea hadi Mandara story ni hio tu bora keeee. Kama naawaona vile wajukuu wa Farao
 
Misri ukilima shamba la alizeti bahati mbaya au nzuri ukafukua mfupa wa fisi ardhini wakati ukitifua, hilo eneo litawekewa ukuta haraka haraka na kutungiwa maelezo mareeefu na kuanza kupiga hela za utalii... Jamaa wakikupeleka baadhi ya vivutio vyao vya kitalii na kuanza kuelezea kwanza unakuwa bored pili unaweza changanyikiwa akili maana unaelezwa vitu ambavyo hata dunia ilikuwa haijaanza! Sasa kama dunia yenyewe haikuwepo hicho unachoelezewa kilifikaje!
 
Back
Top Bottom