Jeneza lilivyokataa kuingia kanisani kimiujiza

Jeneza lilivyokataa kuingia kanisani kimiujiza

Huyu jamaa ana kakitabu kamejaa story anachofanya yeye ni kufungua kurasa tu.
Ila huu utakuwa uzushi
Hahaaaa et kakitabu

Mkuu hii sio uzush ni true story
 
Hivi ninyi watani zangu WASUKUMA! mbona kiswahili kinawapa shida namna hii? muwe mnaongea kiswahili siku moja moja mkiwa majumbani sio kuligha tu!

Eti walimupiga,.....kumukuta...
Hahaaa mkuu sisi kiswahili huwa ni kama mama mke aisee

Mimi kuongea huwa nakandamiza sana yaan had kuandika

Sasa njoo kwenye kuimba nyimbo zangu zote huwa ni kuntu sana na mashabiki ni vigumu sana kujua kama mimi sijui kuandika vizur
 
kumbe na ww ni mtumishi hapo kanisani safi sana, ila mtumishi akiwa jf hatakiwi kuweka avatar kama uliyoweka unatakiwa tuone picha yako halisi maana hutakiwi kuweka vya uongo weka live.
 
Hakutakiwa kuingia kanisani awe hai au mfu ndio sababu ya jeneza kugoma mkuu
 
Back
Top Bottom