SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 517
- 1,243
Malcom and martin walikufa hata miaka 40 sidhani kama walifikisha
Both walikuwa na miaka 39 walipokufa (Malcom X: May 19, 1925-Feb 21, 1965; Luther: Jan 15, 1929-Apr 4, 1968)Malcom and martin walikufa hata miaka 40 sidhani kama walifikisha
Nilichojifunza huitaji kuishi miaka mingi ili kufanya makuwa,Yesu Kristo,Bob Marley,Tupac na hao jamaa wawili ni mfano halisiBoth walikuwa na miaka 39 walipokufa (Malcom X: May 19, 1925-Feb 21, 1965; Luther: Jan 15, 1929-Apr 4, 1968)
Mzee Mwinyi naye alizaliwa 1925, hivi sasa ana miaka 97, sawa na umri wa Jimmy Carter, rais mstaafu wa US. It means wasingepigwa risasi, bado umri ungewaruhusu kuwepo hadi sasa (Luther angekuwa na miaka 93).
Kwanini utumike Uislamu?Sio sawa kwa mujibu wa tamaduni zetu hapa.
Kulala tu kawaida, si vyema kila mtu aone ulivyolala.
Pengine sasa UISLAMU utumike kwenye hili!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itabidi tuanze kuandika vile tunataka mazishi yafanyike.
Kwa mwendo huu haukawii kuzikwa na dera
Why umweke Bwana Yesu Kristo katika sentensi moja na hao jamaa? Really?Nilichojifunza huitaji kuishi miaka mingi ili kufanya makuwa,Yesu Kristo,Bob Marley,Tupac na hao jamaa wawili ni mfano halisi
Yesu ni njia ya kweli na uzima usione haya kumtolea mfano kwa mambo nazuri,tupac,bob marley waliimba nyimbo za kutetea wanyonge na kutetea haki like wise Jesus ChriatWhy umweke Bwana Yesu Kristo katika sentensi moja na hao jamaa? Really?
Hata kuaga kwa wote ikatazweKwanini utumike Uislamu?
Malcom was a Muslim, hii imekaaje kiimani mwili wake ulipigwa picha na kufanyiwa mambo kama haya mkuu?
Hapa ndio uislamu utaonekana una maana kwenye jamii.
ni mtu pia kama hao wengine sema yeye ni Mtume Wa MUNGUWhy umweke Bwana Yesu Kristo katika sentensi moja na hao jamaa? Really?