Jeneza Wazi

Jeneza Wazi

SirAlfred006

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2020
Posts
517
Reaction score
1,243
Ni rasmi sasa. Majeneza rasmi yapo sokoni. Mfu unamsorora live live.
20220707_182424.jpg
 
Sio sawa kwa mujibu wa tamaduni zetu hapa.

Kulala tu kawaida, si vyema kila mtu aone ulivyolala.

Pengine sasa UISLAMU utumike kwenye hili!
 
Hatari
Tujifunze Maana Haya Ukifa Huna Thamani
 
Malcom and martin walikufa hata miaka 40 sidhani kama walifikisha
Both walikuwa na miaka 39 walipokufa (Malcom X: May 19, 1925-Feb 21, 1965; Luther: Jan 15, 1929-Apr 4, 1968)

Mzee Mwinyi naye alizaliwa 1925, hivi sasa ana miaka 97, sawa na umri wa Jimmy Carter, rais mstaafu wa US. It means wasingepigwa risasi, bado umri ungewaruhusu kuwepo hadi sasa (Luther angekuwa na miaka 93).
 
Nilichojifunza huitaji kuishi miaka mingi ili kufanya makuwa,Yesu Kristo,Bob Marley,Tupac na hao jamaa wawili ni mfano halisi
 
Kwahy tutakuwa tunawasorora marehemu the way they are 😁
 
Nilichojifunza huitaji kuishi miaka mingi ili kufanya makuwa,Yesu Kristo,Bob Marley,Tupac na hao jamaa wawili ni mfano halisi
Why umweke Bwana Yesu Kristo katika sentensi moja na hao jamaa? Really?
 
Why umweke Bwana Yesu Kristo katika sentensi moja na hao jamaa? Really?
Yesu ni njia ya kweli na uzima usione haya kumtolea mfano kwa mambo nazuri,tupac,bob marley waliimba nyimbo za kutetea wanyonge na kutetea haki like wise Jesus Chriat
 
Back
Top Bottom