Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Mbwembwe zote za umaarufu jf unaishi kwenye rava fooo endelea kudanga ufikie tulipoAhsante sana kwa meseji ya ku-encourage brother....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwembwe zote za umaarufu jf unaishi kwenye rava fooo endelea kudanga ufikie tulipoAhsante sana kwa meseji ya ku-encourage brother....
ha ha ha kila kitu kina umuhimu wake mkuu, ulimwengu wa sasa unataka ujenge kwenda 'vertical' na si 'horizontal'Siku mie namwaga slab mifuko 116 ya cement inondoka mbele ya macho yangu ndio nilipojua haya maghorofa yote ni kujijaza upepo tuu unless ni for business. Bora ujilie mbususu tuu kwenye nyumba yako ya chini ya mil100. Muhimu kuwe na kipupwe vyumba vyote na maji yanatoka kwa presha basi.
Rava foo wapi niringe??? Naishi kwenye kiota....nawe ulidanga ndio ukafika huko? Basi nami ntafika ngoja nikomae kudangaMbwembwe zote za umaarufu jf unaishi kwenye rava fooo endelea kudanga ufikie tulipo
Rava Foo ni nyumba za maskini Kama wewe umaarufu jf kumbe mshamba tuuuRava foo wapi niringe??? Naishi kwenye kiota....nawe ulidanga ndio ukafika huko? Basi nami ntafika ngoja nikomae kudanga
Mi mshamba mnooo halafu kumbe mi maarufu, ahsante kwa kunijulisha bila shaka we ni shabiki wangu....karibuRava Foo ni nyumba za maskini Kama wewe umaarufu jf kumbe mshamba tuuu
Aisee,swali rahisi tu mkuu.Mpk Hilo ghorofa la Bei rahisi kukamilika litakua limetumia sh. Ngapi(just rough estimates).Ndio maana nakazia pale,ukiruhusu mfuko wako wa fedha utoboke..utatoboka kweli; kama pato lake 'net' laki 5, atumie laki 3 kwenye ujenzi
Ukipiga mahesabu ya hivyo hutojenga mkuu; ni sawa na kujiuliza tangu uzaliwe mpaka hapo ulipofikia umetumia fedha kiasi gani?Aisee,swali rahisi tu mkuu.Mpk Hilo ghorofa la Bei rahisi kukamilika litakua limetumia sh. Ngapi(just rough estimates).
Kuna jamaa mmoja anaendelea na ujenzi wa ghorofa 3(la kibiashara) majuzi nimeona anashusha mifuko ya cement tani 40,nondo zinashushwa Kama vile anafungua kiwanda nikasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.Siku mie namwaga slab mifuko 116 ya cement inondoka mbele ya macho yangu ndio nilipojua haya maghorofa yote ni kujijaza upepo tuu unless ni for business. Bora ujilie mbususu tuu kwenye nyumba yako ya chini ya mil100. Muhimu kuwe na kipupwe vyumba vyote na maji yanatoka kwa presha basi.
Ujenzi wa kuanzia ghorofa 2 nakuendelea inabidi ujipange sana; ndio maana watu wengi huishia ghorofa moja.Kuna jamaa mmoja anaendelea na ujenzi wa ghorofa 3(la kibiashara) majuzi nimeona anashusha mifuko ya cement tani 40,nondo zinashushwa Kama vile anafungua kiwanda nikasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Teh teh nimeshindwa kujenga Hilo ghorofa kwa Sasa hivi,lkn hizi za kajamba Nani hunikosi.Ukipiga mahesabu ya hivyo hutojenga mkuu; ni sawa na kujiuliza tangu uzaliwe mpaka hapo ulipofikia umetumia fedha kiasi gani? Kawaida kwenye ujenzi hasa kwa sisi masikini, tunaanza na tulichonacho, mwisho wa siku matokeo unayaona. Cha muhimu sana, unatakiwa uwe na kiwanja, hiyo ndio 'Principle' au pakuanzia.
🤣🤣🤣 nimecheka sana mkuuTeh teh nimeshindwa kujenga Hilo ghorofa kwa Sasa hivi,lkn hizi za kajamba Nani hunikosi.
Teh teh hakuna principal ya Mishahara wa laki 5 itakayojenga ghorofa,Maisha yako yote sahau hio mzee.
Kuna jamaa humu JF Ni daktari,alileta plani yake ya kujenga kagorofa ka kiaina tu,tena kwa kujibanana na kusimamia kweli kweli mpk hesabu zake za mwisho alikua ametumia karibu mil 60 na ujenzi ulikua unaendelea yaani bado kwa Sana tu,sasa Hawa watumishi wa chini mil 60 tu yenyewe kuifikisha sijui itakua Ni baada ya miaka mingapi .😁😁😁
😁😁 Maisha ya wanyonge sio ya mchezo mkuu.🤣🤣🤣 nimecheka sana mkuu
Hahah ntakukumbusha mkuu, mnyonge nitakua inspired na Mimi kijenge ka ghorofa kangu mkuu.Apology accepted....baada ya miaka miwili ntakutumia picha ya kigorofa changu 😃
Inawezekana mafao,mikopo bank, na vyanzo vingine alivyonavyo; ila wengi huwa ni mikopo bank, kwa mfano wenye viwanda hukopa hata zaidi ya bilioni 3; na kiwanda kinatumika kama dhamana + vyanzo vingineKuna mzee mmoja miaka hiihii alinunua jengo pale Morocco Road na kisha akaivunja.
Baadae baada ya ukimya nikaona ghorofa ile yabomolewa yote hadi chini, kisha ikaanza kujengwa ghorofa ingine matata sana...
hela zinaingia ?Yule mzee yupo zake huko Madale ametulia anavuta tu mpunga waingia kwa akaunti.
Kwa kuwa Morocco Road ni Prime Area inawezekana kupata zaidi ya hizo $3000.hela zinaingia ?
anaweza kufa hajarudisha gharama za kujenga
na bado kuna:
property taxes..
Inaonekana ametumia mafao na akaongeza na mkopo wa benki.Inawezekana mafao,mikopo bank, na vyanzo vingine alivyonavyo; ila wengi huwa ni mikopo bank, kwa mfano wenye viwanda hukopa hata zaidi ya bilioni 3; na kiwanda kinatumika kama dhamana + vyanzo vingine
Mkuu kwa nchi zetu hizi bado tuna mapori mengi sana hatujafikia kuanza kuwa na umuhimu wa kwenda vertically hasa kwenye nyumba za kuishi. Hata nchi zilizoendelea wanaenda vertically mijini tu, ukiingia interior huko watu wanaishi nyumba za chini kawaida.ha ha ha kila kitu kina umuhimu wake mkuu, ulimwengu wa sasa unataka ujenge kwenda 'vertical' na si 'horizontal'