Jenga gorofa moja kwa gharama nafuu

Jenga gorofa moja kwa gharama nafuu

Nataka kujenga mnara wa kuweka tank za maji za litte 5000 mbili, yaani 10000 litres.

Nitatumia mbinu maana maelekezo ni mengi na yanatishia budget saana.. yaani msingi tu million tatu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tumia chuma
 
Sijawahi fikiria kuishi gorofani😂😂..hivi mimi ni nani!!??🤔
Ahsante kwa uzi
Ukiwa na nia pamoja na malengo inawezekana; ila ukubwa wa jengo utategemea na vyanzo vyako vya mapato pia.
 
Nia ya kujenga ghorofa?
Tatizo unajidharau; kama unachanzo cha kipato, cha kununua nondo ishirini n.k kwa mwezi, unaweza kufanya ujenzi; kitakachokutofautisha na wengine, ni muda wa kumaliza ujenzi. wapo wanaotumia miezi 6, mwaka, miaka 5, miaka 10 n.k itategemea na uwezo wako wa kiuchumi.
Ila itakulazimu kuwa bahili mfano; kutokusuka nywele za gharama, kupunguza baadhi ya starehe n.k ili uweze kuweka akiba ya kifedha
 
Bro sina mzuka na magorofa..nitajenga jumba la kifahari but not gorofa type.
Ahsante kwa ushauri
 
Ni vizuri pia kuwa na nyumba ya ndoto yako, ingawa changamoto huwa bei ya malighafi; mfano mimi nondo nilikuwa nachukulia kiwandani ili kupunguza gharama, unakuwa unauziwa kwa tani.
 
Ahsante sana..👊
 
Kuna Idea Moja jamaa yangu tukiye kuwa na ndoto wote yakujenga ghorofa tangu Shulen ila tulipokuja kuanza maisha kitaa mimi nikaanza kuogopa . ila msela aka baki na ndoto yake . Alicho fanya .

Alijenga nyumba yenye room mbili zakulala chini na juu ramani inaonyesha kuna room2 pia.. so chini ana room , Dinning , store, choo cha public na jiko..

Alipo fikia kumwaga slab akaacha matoleo ya nondo kwa juu. Akastop ,kisha aka fanya ile slab ndio bati lake akamalizia nyumba uku chini akaanza maisha akaweka geti lake akatulia kwa miaka 3 akaja kupata tena hela akaendekeana upande wajuu ndio kamalizia ukiona mhengo huwezi amini.. ila jumla ana niambia ime mla 170milion lakini alipo kuwa ameishi kule chini anasema alikuwa ametukia only 80milion

Wakati huo mm nilijenga nyumba yangu yachinu ika nigharimu 80m kila kitu mpakauzio na pavement nje. lakini tofauti nikuwa kwa jamaa kwa kishua sana na pia ametimiza ile ndoto yake .So najipanga nikajenge Ghoba nyumba ya ndoto yangu.
 
Bwana wee yaani anachapa marimba ya mzungu kirahisi ukidhani hiyo slab ni kitu rahisi. Mziki wake ni sawa na kuanza kujenga nyumba nyingine. Nondo na mifuko ya cement inavyoteketea ni noma. Katika ufala niliowahi kufanya maishani ni kujenga nyumba ya ghorofa....yaani ni bora tuu ningezika mamillion ya slab kwenye mbususu
🤣🤣🤣mkuu ghorofa ina heshima yake.
 
Kuna Idea Moja jamaa yangu tukiye kuwa na ndoto wote yakujenga ghorofa tangu Shulen ila tulipokuja kuanza maisha kitaa mimi nikaanza kuogopa . ila msela aka baki na ndoto yake . Alicho fanya .

Alijenga nyumba yenye room mbili zakulala chini na juu ramani inaonyesha kuna room2 pia.. so chini ana room , Dinning , store, choo cha public na jiko..

Alipo fikia kumwaga slab akaacha matoleo ya nondo kwa juu. Akastop ,kisha aka fanya ile slab ndio bati lake akamalizia nyumba uku chini akaanza maisha akaweka geti lake akatulia kwa miaka 3 akaja kupata tena hela akaendekeana upande wajuu ndio kamalizia ukiona mhengo huwezi amini.. ila jumla ana niambia ime mla 170milion lakini alipo kuwa ameishi kule chini anasema alikuwa ametukia only 80milion

Wakati huo mm nilijenga nyumba yangu yachinu ika nigharimu 80m kila kitu mpakauzio na pavement nje. lakini tofauti nikuwa kwa jamaa kwa kishua sana na pia ametimiza ile ndoto yake .So najipanga nikajenge Ghoba nyumba ya ndoto yangu.
Huyu ana kipato kizuri sio cha kuunga unga. Pia hapo hakuna ghorofa kuna mjengo unaofanana na ghorofa.
 
🤣🤣🤣mkuu ghorofa ina heshima yake.
Sasa wee jamaa unajenga ghora mil400 wakati naweza jenga nyumba nzuri tuu ya chini kwa mil 150.
Ebu tupige hesabu za haraka haraka hapo katika milion 400 nimebaki na million 250 au fanya 200.

Kuisasambua mbususu ya pisi kali tuseme unatumia 300k...so roughly million nakula mbususu 3. So kwa hizo million 200 sii napata kusasambua mbususu 600....wee huoni kuwa hiyo i matumizi mabaya ya pesa...i could have touched the lives of 600 women.
 
Sasa mbususu ukisha ila unapata nini zaidi ya mikojo tu na usingizi
 
[emoji16][emoji16] hana heshima na mbususu sio, pesa yote anaifukia chini
yeye wacha afukie pesa aridhini sie bwana ni mwendo wakuwapa warembo hela watupe utelezi tuburudike. u live once hayo matumaini ya kwenda mbinguni kwa wengine hayapo tena. tulishajijulia sie ni wa motoni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Siku mie namwaga slab mifuko 116 ya cement inondoka mbele ya macho yangu ndio nilipojua haya maghorofa yote ni kujijaza upepo tuu unless ni for business.

Bora ujilie mbususu tuu kwenye nyumba yako ya chini ya mil100. Muhimu kuwe na kipupwe vyumba vyote na maji yanatoka kwa presha basi.
Ghorofa lina raha yake Mkuu!
 
Wengi tunaojenga tunakua na haraka maana unataka umalize mjengo wako uhamie kwako. Mfano kama umepanga, kadri unavyochelewa kumaliza nyumba yako ndio kadri unavyozidi kulipa kodi. Pia wengi tunakula timing nyumba iishe kabla watoto hawajafika sekondari nk. Mambo ni mengi.

Sasa ukijikuta miaka 8 bado unapambana na nyumba tu haiishi aisee unaweza fika mahali ukaitelekeza kabisa maana hata ule mzuka wa nyumba tena unakua umeshaisha.
Mkuu kila jambo lina hitaji nia na uthubutu. Kuna watu wanajenga nyumba za kawaida sana (si ghorofa) lakini wametumia zaidi ya miaka 8 na hajamaliza kujenga. Na kuna watu wamejenga maghorofa ndani ya miaka 3 amemaliza na vipato vyao ni sawa yaani havipishani.
 
Back
Top Bottom