Jenga Morali kwa wachezaji Simba SC, Kumbe Ndugu yangu yupo Zambia! na Baba yake aliwahi kucheza Zesco United

yanga ni wakimataifa hata wakifungwa na zesco bado wataenda shirikisho, kimataifa bado tupo sana , simba ni wamatopeni jiandaeni kucheza na jkt,
 
simba jiandaeni na timu za level yenu jkt, namungo, yanga tunajiandaa na level yetu zesco, tp mazembe, al ahly
 
Hamkawii kuharibu nyie, furaha yenu ni muda mchache tu..Tunawafahamu

Wakimataifa Original Simba SC tunawazoom tu..!
yanga ni wakimataifa hata wakifungwa na zesco bado wataenda shirikisho, kimataifa bado tupo sana , simba ni wamatopeni jiandaeni kucheza na jkt,
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba maumivu ya Simba kutolewa kwenye haya mashindano ni makali kuliko ya Yanga kutolewa kwa sababu hata maandilizi ya hizi timu kwa ajili ya michuano hii yalikuwa tofauti

Kwa mujibu wa Manara ni kwamba usajili wa Simba kwa msimu huu ulilenga zaidi Klabu bingwa ili angalau wafike nusu fainali,,kwa lugha nyingine ni kwamba wachezaji waliosajiliwa na Simba hadhi yao ilikuwa Klabu bingwa,hivyo kutocheza ngazi hiyo ni kuwa-underutilize wachezaji wao (hasara kwa Club)

Kwa upande wa Yanga kucheza haya mashindano imekuja kama bahati ambayo hawakuitarajia,,hivyo hata maandalizi yao yalilenga zaidi ligi kuu na sio Klabu bingwa,hata wangetolewa na Rollers bado hawangeathiriki na kuumia kama alivyoumia Simba
 
Uzalendo A.C.T na taifa stars! Nitaishangalia zesco kwa niaba ya pacha wake chama na huyo huyo ndugu Uzalendo A.C.T na taifa stars! Nitaishangalia zesco kwa niaba ya huyo baba wa ndugu yako na pacha wa mwanangu clatus chama!
 
Hamkawii kuharibu nyie, furaha yenu ni muda mchache tu..Tunawafahamu

Wakimataifa Original Simba SC tunawazoom tu..!
yanga maandalizi morogoro tunasonga mbele, simba maandalizi afrika kusini iko matopeni, dah lakini simba roho zimewauma mno kutolewa, wakimataifa tukifungwa na zesco bado tunapeta shirikisho
 
Haya haya haya..Kumekucha muda mchache kitanuka Taifa..!

Goooooooooooooooooooaaal Zesco wanatangulia kwa bao maridadi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…