Jenga Morali kwa wachezaji Simba SC, Kumbe Ndugu yangu yupo Zambia! na Baba yake aliwahi kucheza Zesco United

Jenga Morali kwa wachezaji Simba SC, Kumbe Ndugu yangu yupo Zambia! na Baba yake aliwahi kucheza Zesco United

yanga ni wakimataifa hata wakifungwa na zesco bado wataenda shirikisho, kimataifa bado tupo sana , simba ni wamatopeni jiandaeni kucheza na jkt,
 
Hamkawii kuharibu nyie, furaha yenu ni muda mchache tu..Tunawafahamu

Wakimataifa Original Simba SC tunawazoom tu..!
yanga ni wakimataifa hata wakifungwa na zesco bado wataenda shirikisho, kimataifa bado tupo sana , simba ni wamatopeni jiandaeni kucheza na jkt,
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli kwamba maumivu ya Simba kutolewa kwenye haya mashindano ni makali kuliko ya Yanga kutolewa kwa sababu hata maandilizi ya hizi timu kwa ajili ya michuano hii yalikuwa tofauti

Kwa mujibu wa Manara ni kwamba usajili wa Simba kwa msimu huu ulilenga zaidi Klabu bingwa ili angalau wafike nusu fainali,,kwa lugha nyingine ni kwamba wachezaji waliosajiliwa na Simba hadhi yao ilikuwa Klabu bingwa,hivyo kutocheza ngazi hiyo ni kuwa-underutilize wachezaji wao (hasara kwa Club)

Kwa upande wa Yanga kucheza haya mashindano imekuja kama bahati ambayo hawakuitarajia,,hivyo hata maandalizi yao yalilenga zaidi ligi kuu na sio Klabu bingwa,hata wangetolewa na Rollers bado hawangeathiriki na kuumia kama alivyoumia Simba
 
Uzalendo A.C.T na taifa stars! Nitaishangalia zesco kwa niaba ya pacha wake chama na huyo huyo ndugu
Salaam Tanzania, Natumai ni wazima

Jumapili ya Agosti 25, 2019 ni siku mbaya sana wa sisi Wanasimba kindakindaki kwa matokeo mabaya ya kufurushwa kwenye mashindano ya kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika.

Ndugu zangu Wanasimba Jenga Morali kwa wachezaji wetu Simba SC, Wekundu wa Msimbazi, tuwaunge mkono, si wakati wa kutupa lawama kwa viongozi na wachezaji pamoja na benchi la ufundi, kawaida ya mpira unatoa matokeo pengine hayatarajiwi pamoja na kujiandaa kwa asilimia 99%, maana naona wengine wameanza kuwataja akina Emmanuel Okwi, jamani kwa style hiyo hatuwezi kusonga mbele na madhara yake ni kuwavunja moyo wachezaji wengine, ni sawa kuwakumbuka akina Kibadeni na Mwameja ambapo muda wao tayari umepita.

Jamani tusisahau vilevile mpira kuna bahati, na siku ya Jumapili haikuwa bahati yetu Wanasimba, hatujafungwa lakini tumeondoshwa kwa kanuni, kwahivyo jambo muhimu kwa sasa tuangalie patashika nyingine VPL, na ASFC kwani tuna timu bora kabisa kwenye ukanda huu, soka la Simba SC ni level ya juu iliyothibitishwa na Shirikisho la Kandanda Afrika CAF.

Kwa upande wa pili, kutoka kuanza kwa michuano hii 2019, tulijitahidi sana kuwa wazalendo kupitia kwenye Tv, Radio na baadhi ya mitandao ya kijamii, lakini mmekosa busara, lakini tunasema tutalipa ili mjifunze.

Na hapo nilifarijika mno baada ya kusoma historia ya Klabu ya Zesco United nimegundua kumbe Ndugu yangu mimi Ghazwat wa damu kabisa yupo Zambia, na baba yake amewahi kuchezea Zesco United, kwahivyo Wanasimba kwa niaba Ndugu yangu, Zesco watatufurahisha mno, Unyama Unyamani NguvuMoja.View attachment 1191147View attachment 1191148
Uzalendo A.C.T na taifa stars! Nitaishangalia zesco kwa niaba ya huyo baba wa ndugu yako na pacha wa mwanangu clatus chama!
 
Hamkawii kuharibu nyie, furaha yenu ni muda mchache tu..Tunawafahamu

Wakimataifa Original Simba SC tunawazoom tu..!
yanga maandalizi morogoro tunasonga mbele, simba maandalizi afrika kusini iko matopeni, dah lakini simba roho zimewauma mno kutolewa, wakimataifa tukifungwa na zesco bado tunapeta shirikisho
 
Haya haya haya..Kumekucha muda mchache kitanuka Taifa..!

Goooooooooooooooooooaaal Zesco wanatangulia kwa bao maridadi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1568325964808.jpeg
 
Back
Top Bottom