Achimwene2014
Senior Member
- Jul 15, 2017
- 119
- 124
Vip kwa watu wa Mikoani inakuwaje mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkoa gani?Vip kwa watu wa Mikoani inakuwaje mkuu
Mkoa gani?
Aah Bei ilishuka sana mkuu! Hawa waliowahi soko walitupiga sana blalifuu! Sasa hivi bati la migongo mipana mita 3 gauge 28-30 unapata kwa 22,500 hadi 21,000 tu siku hizi viwanda vipo hadi vichochoroni,show room zao ziko humu mitandaoni!Bei kwa sasa ni sh ngapi migongo mipana gauge 28
Usimdanganye mwenzako kuna bora bati na bati bora, wewe nenda huko huko uchochoroni bati baada ya mwezi haijulikani ilikuwa rangi gani, kila mtu ajikune anapofikia, Bati ni ALAF, SUNSHARE na DRAGON tu.Aah Bei ilishuka sana mkuu! Hawa waliowahi soko walitupiga sana blalifuu! Sasa hivi bati la migongo mipana mita 3 gauge 28-30 unapata kwa 22,500 hadi 21,000 tu siku hizi viwanda vipo hadi vichochoroni,show room zao ziko humu mitandaoni!
Heri umeongea ukweli mkuuu, hizo bati za bei rahisi ni majangaaa, zinachuja vibaya mnooo na wajenzi tukumbuke kuwa ukiharibu kwenye paaaa, utapata taabu saaaaaana maishan mwako.Usimdanganye mwenzako kuna bora bati na bati bora, wewe nenda huko huko uchochoroni bati baada ya mwezi haijulikani ilikuwa rangi gani, kila mtu ajikune anapofikia, Bati ni ALAF, SUNSHARE na DRAGON tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bati in ALAF tu, hayo mengine yote ni baada ya hesabu za ALAF kugoma. Ukiona MTU anannua tofauti na ALAF ujue mfuko umemgoea tu, hao ndiyo wakongwe tuko nao toka enzi ya Mwalimu, hawa wachina wamekuja juzi hatujaona paa lamiaka hamsini kama alafUsimdanganye mwenzako kuna bora bati na bati bora, wewe nenda huko huko uchochoroni bati baada ya mwezi haijulikani ilikuwa rangi gani, kila mtu ajikune anapofikia, Bati ni ALAF, SUNSHARE na DRAGON tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu! Zamani bati zilikuwa zilikuwa zikitoka Alaf Dar tu!sikumbuki kama kulishakuwa na kiwanda kingine cha bati mkoani! Hilo lilisababisha hao Alaf kujipangia bei wanavyotaka kwa kuwa hawakuwa na mpinzani,sasa hivi viwanda vya mabati (hata hayo ya low quality and cost)vimezagaa nchi nzima! That was my concern,hiyo hoja ya bati kuchuja rangi na blah blah nyingine is nowhere close to my view, hoja yangu ni kuwa zamani kulikuwa na Monopoly kwenye soko la bati jambo lililopelekea mtu mmoja kuamua mwenyewe bei ya kuuzia,but now kama ukiona la 32elfu ni ghali kwako still you have a second option!! Cc angelitaBati in ALAF tu, hayo mengine yote ni baada ya hesabu za ALAF kugoma. Ukiona MTU anannua tofauti na ALAF ujue mfuko umemgoea tu, hao ndiyo wakongwe tuko nao toka enzi ya Mwalimu, hawa wachina wamekuja juzi hatujaona paa lamiaka hamsini kama alaf
Mkuu kwa wanaojali ubora watakuwa wamenielewa, tumetofautiana sana kimtazamo na uwezo kifedha, hata viatu vipo vya 10,000/= baada ya mwezi kimeharibika, ila yupo atakayeenda kujinunulia cha gharama ambacho ana uhakika na ubora wake akadumu nacho miaka, hivyo hivyo kwenye bidhaa. Yapo hadi mabati ya mita 3 11,000/= sijui na chini ya hapo ila hayana ubora, baada ya muda yanatoboka kwenye rangi ndiyo usiseme umepiga paa wiki haijaisha limepauka.Sawa mkuu! Zamani bati zilikuwa zilikuwa zikitoka Alaf Dar tu!sikumbuki kama kulishakuwa na kiwanda kingine cha bati mkoani! Hilo lilisababisha hao Alaf kujipangia bei wanavyotaka kwa kuwa hawakuwa na mpinzani,sasa hivi viwanda vya mabati (hata hayo ya low quality and cost)vimezagaa nchi nzima! That was my concern,hiyo hoja ya bati kuchuja rangi na blah blah nyingine is nowhere close to my view, hoja yangu ni kuwa zamani kulikuwa na Monopoly kwenye soko la bati jambo lililopelekea mtu mmoja kuamua mwenyewe bei ya kuuzia,but now kama ukiona la 32elfu ni ghali kwako still you have a second option!! Cc angelita
Nimekuelewa tangu mwanzo! Suala ninalozungumzia ni la competition kibiashara! Maana hata hayo unayosema ni high quality siku hizi yanapatikana kutoka kwa makampuni/viwanda tofauti na kwa bei tofauti pia!na ya low quality pia yana platform yake na wateja wake,nayo pia yana brands tofauti na bei tofauti,hizi ni ligi mbili tofauti,wale wenye hela mingi wanacheza ligi yao kwa kuezeka vigae na other expensive stuff,wale wa kati wanajivunia hizo bati za Alaf,Dragon nk,lakini pia kuna wa tabaka la chini ambao pia nao wana wide variety of selection,what I say is that no one can monopolise the market nowdays!! Whis is good thing.Mkuu kwa wanaojali ubora watakuwa wamenielewa, tumetofautiana sana kimtazamo na uwezo kifedha, hata viatu vipo vya 10,000/= baada ya mwezi kimeharibika, ila yupo atakayeenda kujinunulia cha gharama ambacho ana uhakika na ubora wake akadumu nacho miaka, hivyo hivyo kwenye bidhaa. Yapo hadi mabati ya mita 3 11,000/= sijui na chini ya hapo ila hayana ubora, baada ya muda yanatoboka kwenye rangi ndiyo usiseme umepiga paa wiki haijaisha limepauka.
VIZURI GHARAMA
Mimi nimekusoma vizuri tu mkuu, na naelewa kwamba ALAF hawazalishi wenyewe sheets za kutengenezea bati, wananunua tu kama wanavonunua wengine, na huenda kuna wengine wananunua kulekule wanakonunua ALAF ila tu wao wakaamua kushusha kidogo bei kwa sababu hawana jina kubwa kama ALAF.Sawa mkuu! Zamani bati zilikuwa zilikuwa zikitoka Alaf Dar tu!sikumbuki kama kulishakuwa na kiwanda kingine cha bati mkoani! Hilo lilisababisha hao Alaf kujipangia bei wanavyotaka kwa kuwa hawakuwa na mpinzani,sasa hivi viwanda vya mabati (hata hayo ya low quality and cost)vimezagaa nchi nzima! That was my concern,hiyo hoja ya bati kuchuja rangi na blah blah nyingine is nowhere close to my view, hoja yangu ni kuwa zamani kulikuwa na Monopoly kwenye soko la bati jambo lililopelekea mtu mmoja kuamua mwenyewe bei ya kuuzia,but now kama ukiona la 32elfu ni ghali kwako still you have a second option!! Cc angelita
Sahihi kabisa mkuu!Mimi nimekusoma vizuri tu mkuu, na naelewa kwamba ALAF hawazalishi wenyewe sheets za kutengenezea bati, wananunua tu kama wanavonunua wengine, na huenda kuna wengine wananunua kulekule wanakonunua ALAF ila tu wao wakaamua kushusha kidogo bei kwa sababu hawana jina kubwa kama ALAF.
Mkuu hizo bati za Tsh 11,000 ni za kiwanda gani?? Nataka bati za kuezekea mabanda ya kuku aise.Mkuu kwa wanaojali ubora watakuwa wamenielewa, tumetofautiana sana kimtazamo na uwezo kifedha, hata viatu vipo vya 10,000/= baada ya mwezi kimeharibika, ila yupo atakayeenda kujinunulia cha gharama ambacho ana uhakika na ubora wake akadumu nacho miaka, hivyo hivyo kwenye bidhaa. Yapo hadi mabati ya mita 3 11,000/= sijui na chini ya hapo ila hayana ubora, baada ya muda yanatoboka kwenye rangi ndiyo usiseme umepiga paa wiki haijaisha limepauka.
VIZURI GHARAMA
Point sijui kwanini hawataki kukuelewaMimi nimekusoma vizuri tu mkuu, na naelewa kwamba ALAF hawazalishi wenyewe sheets za kutengenezea bati, wananunua tu kama wanavonunua wengine, na huenda kuna wengine wananunua kulekule wanakonunua ALAF ila tu wao wakaamua kushusha kidogo bei kwa sababu hawana jina kubwa kama ALAF.