Jenga ndoto au jenga mahusiano. Unatakiwa kuchagua kimoja

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Vijana wenzangu wote ambao bado tunapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja tu(ingawa bado itakugharimu)

Mahusiano ni gharama sana kwa mwanaume, hasa katika kizazi hiki ambacho wanawake wamegeuza ngono kuwa ajira, wanataka kulipwa ili kuwa kwenye mahusiano wakati wao hawana output yoyote.

Lazima ufanye chaguo moja. Ukubali kuachana na ndoto yako ili ujenge mahusiano yako au kuachana na mahusiano ili ujenge ndoto yako.

Kumbuka kila chaguo lina consequences zake. Ukifika wakati wa kukabiliana na consequences za maamuzi yako nature haitakuonea huruma, nature haitajali sacrifices zako kwenye hayo mahusiano.

Ukinipa nafasi ya kukushauri nitakushauri kubali kuwa single kwa miaka kadhaa ili ufukuzie ndoto yako.

Kuingia katika mahusiano kutakufanya ugawanye muda, nguvu na hela zako vitu ambavyo ni assets muhimu sana katika mapambano yako.

Hicho kiasi kidogo cha hela ambacho kwa sasa hata wewe mwenyewe bado hakikutoshelezi, mwanamke akija kwenye maisha yako kitagawanywa na kwa ajiri yake pia.

The truth is, women are liabilities. They hardly enters a man's life to give you more peace or money rather they enter to take away the little you gathered, they enter to subtract from you, they enter to become another challenge for you.

The more you chase women the more you lose your respect and draining your resources. Just ignore them and build yourself.
 
Ni kweli kabisa, tuna nafas ya kuchagua kimoja, na kimsingi inabidi kuipigania ndoto, ila ukisema uache kuyajenga mahusiano Kipindi hiki ujue unatengeneza tatizo lingine kubwa huko mbeleni
Kwa mtazamo wangu ni bora kutumia akili yako kuweza kuweka balance kwa vitu vyote viwili
 
Mkuu sorry kama nitakukwaza, ni jambo la aibu sana mwanaume kushindana na jinsia ya kike.

Ushawahi fikiria complication wanazopitia ke wakati wa hedhi, mimba na ulezi wa watoto?

Unadhani bila mzazi wako wa kike kujitoa mhanga ktk ulezi wa mimba na utoto wako, leo ungeipata hii fursa ya kutuhubiri hiki unachosema?

Binafsi naamini wanaume wajinga pekee, ndo hushindwa kutimiza ndoto zao ajili ya mahusiano.
 
Mahusiano yanamgharimu sana mwanaume. Unatakiwa kujua mwanamke ulienae ana uwezekano mkubwa sana wa kutoboa zaidi yako, her private party is enough to sustain her relationship, but that can't be applicable to you.

Wapo wanaume wengi ambao washajipata wanaweza kumwokoa mwanamke bure kabisa kwa dhamana ya uchi wake tu(na akipata nafasi iyo anakuacha bila kujiuliza hata mara moja) lakini mwanaume hakuna anaekuja kukuokoa, ni wewe, muda na jitihada zako.

Always remember that, women are loyal to their emotions not your sacrifices.
 
Mada zinazoongelea masuala ya wanawake zipo nyingi tu mkuu, ni suala la wewe tu kuzifuatilia, au kama utajali unaweza kuziandikia thread kuchangia maarifa yako na sisi. Mimi siwezi ku-address kila kitu.

Kabla ya kufikia hili hitimisho ushawahi kupitia sheria za masuala ya mahusiano na ndoa baina ya mwanaume na mwanamke?, kwa kifupi mfumo una mianya mingi sana kwa mwanamke kuua ndoto zako. Women have legal right to fuvk your life.
 
Kweli kabisa lakini me naona ni bora kama mdau alivosema hapo juu hivi vitu tuvibalance tu.
 
Mkuu kwa hiyo vijana wajichukulie sheria mkononi ?

1000012721.jpg
 
Kweli kabisa lakini me naona ni bora kama mdau alivosema hapo juu hivi vitu tuvibalance tu.
Kubalance sio rahisi kiivyo mkuu. Ngono ina ushawishi mkubwa sio rahisi kuchomoa ukiwa katika circle inayoamasisha ngono,

Ni suala la kuamua kimoja tu. Kubali kujiweka pembeni kwanza ili utengeneze streams za maokoto kwanza, wala hauhitaji kipindi kirefu mwaka mmoja ikizidi sana miwili inatosha kabisa.

Mahusiano ni liability kwa mwanaume lakini hii liability angalao uibebe ukiwa umesimama kimaisha kuliko kuibeba wakati uchumi wenyewe wa papatu papatu. Ila kama tayari unaziishi ndoto ni sawa.

Mimi takribani miaka mitatu iliyopita nilipigika balaa. Moja ya maamuzi ya mwanzo niliyoyafanya ni kuachana kabisa na committed relationship, na matokeo nikayaona leo hii nipo katika mahusiano lakini angalao naweza kusema sipo katika zile nyakati ngumu

Circle kubwa ya wanawake ni hatari sana kwa mustakabali wa ndoto yako
 
Mimi nilichojifunza ni kwamba, kama bado unajitafuta, usiingie ktk mahusiano ambae utamgharamia kwa eneo la kod, mavazi na mambo mengine mazito. Vocha, kusuka na vitu vidogo vidogo ambavyo ela yake haiwezi kukupasua kichwa. Kuwa ktk mahusiano ambayo utamgharamia mwanamke na wewe bado unajitafuta ni sawa na kujichimbia kaburi.
 
Ni sahihi kabisa.
 
Ni kweli kabisa, tuna nafas ya kuchagua kimoja, na kimsingi inabidi kuipigania ndoto, ila ukisema uache kuyajenga mahusiano Kipindi hiki ujue unatengeneza tatizo lingine kubwa huko mbeleni
Kwa mtazamo wangu ni bora kutumia akili yako kuweza kuweka balance kwa vitu vyote viwili
Hili neno sana mkuu, kupambania vyote ila kipao mbele ndoto zako, mwanamke aishi katika misimamo yako kuanzia kifedha nk, akishindwa au hayuko tayari uwe tayari kumpoteza (shida yetu wengi ndio ipo hapo kuwa tayari kupoteza ila ni inawezekana kabisa)
 
Mada zinazoongelea masuala ya wanawake zipo nyingi tu mkuu, ni suala la wewe tu kuzifuatilia, au kama utajali unaweza kuziandikia thread kuchangia maarifa yako na sisi. Mimi siwezi ku-address kila kitu.

Kabla ya kufikia hili hitimisho ushawahi kupitia sheria za masuala ya mahusiano na ndoa baina ya mwanaume na mwanamke?, kwa kifupi mfumo una mianya mingi sana kwa mwanamke kuua ndoto zako. Women have legal right to fuvk your life.
Complication wanazopitia wanawake, ndo sababu kubwa ya sheria kuwalinda.

Imagine umemrubuni binti wa watu, ukamtia mimba then ukamtelekeza bila msaada wowote, sasa sheria isipomlinda unatarajia atasaidiwa na nini?
 
wanaume hawakutani na complications? mfano kubambikiwa mtoto hapa sheria inamlinda vipi mwanaume na kumwajibisha mwanamke?
 
Ukisoma vitabu vya zamani na kutazama series unaona kabisa mwanamke alikuwa kiumbe wa kawaida tu, tena ktk imani hat hesabu zao hazikuwepo ila kwa sasa dunia ni kama imepinduka, mwanamke amekuwa kiumbe fulani cha kuleta complications.
 
Naturaly women are destructor and chaotic. Anguko la ustawi wa jamii lilianzia pale mwanamke alipojumuishwa kwenye ufanyaji wa maamuzi magumu na kupewa uhuru usiokua na mipaka kwa kigezo cha haki sawa.

Swali la kujiuliza, haki nayo lakini je uwezo anao pia?
 
mfano kubambikiwa mtoto hapa sheria inamlinda vipi mwanaume na kumwajibisha mwanamke?
Kisheria sijui lipoje, bt mitizamo yako hasi ya kiujumla kuhusu wanawake inanifanya nidhani huenda kuna pahala hapako sawa.

Mwisho kabisa, nikutakie kila la kheri ktk mapambano yako.
 
Back
Top Bottom