Jenga ndoto au jenga mahusiano. Unatakiwa kuchagua kimoja

Kisheria sijui lipoje, bt mitizamo yako hasi ya kiujumla kuhusu wanawake inanifanya nidhani huenda kuna pahala hapako sawa.

Mwisho kabisa, nikutakie kila la kheri ktk mapambano yako.
Kisheria mwanamke akikubambikia mtoto au akiwa ndie chanzo cha ndoa kuvunjika hawajibishwi kwa lolote na vile vile analindwa. Mkipima DNA mwanamke ndie muamuzi akikataa basi DNA haipimwi na hata akikubali na ikaonekana sio mtoto wako, mwanaume utadanganywa uyo ni mwanao. Wenyewe wanasema wanalinda masilahi ya mtoto na mama. Ni ukatili kwa mwanaume huu.

Halafu mzee mwenzangu mimi hapa naongea ukweli, siongei kutaka kufurahisha watu, kutaka kuonekana mwema au kuitwa gentleman, nice guy na title zingine za kisimp. Mimi sipindishi, naeleza ukweli ambao unahakisi uhalisia wa mtaani.

Kumbuka utakapofika wakati wa kukabiliana na matokeo ya maamuzi yako nature haitaangalia wema wako. Wakati huo ukikukuta kipindi. ambacho haujakaa kitaalamu utabamizwa tu. Woman's selfish nature doesn't care about your sacrifices

Hata mimi naamini binadamu tuna ile inner insticts ambayo inatutuma tufanye wema. Lakini jiulize, kwa type ya wanawake tuliyonayo kwenye jamii leo hii ni salama kwangu kusacrifice loyalty, kindness na resources kwenye mahusiano?

Tupo kwenye kizazi ambacho kuna changamoto kubwa sana ya uaminifu. Katika hili mwanamke analindwa na sheria, mamlaka za kiserikali, jamii na asasi za kiraia. Wewe mwanaume unalindwa na nani?

Tukija kwenye msingi wa mada ambao ni kufanya maamuzi ya kuchagua kimoja kati ya kujenga mahusiano na kujenga ndoto yako.

Usiingie kwenye mahusiano kwa sababu tu wengine wameingia. Ingia kwenye mahusiano ukiwa tayari una malengo ya nini unachokitaka katika hayo mahusiano.

Bila shaka lengo kuu la mahusiano ni ndoa. Hii maana yake kama hauna dhamira ya kuingia kwenye ndoa basi hakuna maana ya wewe kuwa kwenye commited relationship

Mahusiano ni mzigo yatakupotezea muda wako, pesa yako, nguvu zako na umakini wako. If you are still building yourself it better flirting than entering into committed relationship

Ukiingia kwenye mahusiano hautaweza kuwa huru, utaishi kumfurahisha mwanamke. Matatizo yake yanakua yako, unaweza kufikia mpaka hatua ya kupewa lawama mwanamke akiwa masikini utafikiri wewe ndio sababu ya umasiki wake.

Katika kuprove una qualifications za kuwa nae utakua katika presha na kubebeshwa matarajio mengi sana. Relationship is a burden and distruction. It drain your energy and pocket.

Sasa investmemts na sacrifices zote izo zitakua ni kupoteza muda tu kama hauna mpango wa kufikia matarajio ya juu katika hayo mahusiano, ambayo ni ndoa au kama bado haujajipata maana akitokea jamaa alieyejipata akatanganza nia demu anakuacha hapo hapo bila kujiuliza hata mara moja.

To any young man who he is still building himself, flirting is better than committed relationship
 
Kubalance sio rahisi kiivyo mkuu. Ngono ina ushawishi mkubwa sio rahisi kuchomoa ukiwa katika circle inayoamasisha ngono,

Ni suala la kuamua kimoja tu. Kubali kujiweka pembeni kwanza ili utengeneze streams za maokoto kwanza, wala hauhitaji kipindi kirefu mwaka mmoja ikizidi sana miwili inatosha kabisa.

Mahusiano ni liability kwa mwanaume lakini hii liability angalao uibebe ukiwa umesimama kimaisha kuliko kuibeba wakati uchumi wenyewe wa papatu papatu. Ila kama tayari unaziishi ndoto ni sawa.

Mimi takribani miaka mitatu iliyopita nilipigika balaa. Moja ya maamuzi ya mwanzo niliyoyafanya ni kuachana kabisa na committed relationship, na matokeo nikayaona leo hii nipo katika mahusiano lakini angalao naweza kusema sipo katika zile nyakati ngumu

Circle kubwa ya wanawake ni hatari sana kwa mustakabali wa ndoto yako
Umedadavua vizuri sana na umeeleweka. Kiufupi nyakati zimebadilika sana

Mwanaume mwenzangu ukipata nafasi ya kukaa na washkaji kupiga story na kupata kinywaji kwa pamoja wakati ukiwa single na unajitafuta basi do it maana ukishajipata na ukakimbilia kwenye ndoa bila tahadhari UTAJUTA. Kwa sasa mashauri ya ndoa mahakamani ni mengi kuliko unavyodhani wewe usiyelijua hili
 
Hili neno sana mkuu, kupambania vyote ila kipao mbele ndoto zako, mwanamke aishi katika misimamo yako kuanzia kifedha nk, akishindwa au hayuko tayari uwe tayari kumpoteza (shida yetu wengi ndio ipo hapo kuwa tayari kupoteza ila ni inawezekana kabisa)
Kuna wanawake kuwaingiza kwenye hustles zako ni rahisi ila pale unapohisi hakutoshi na unataka kuachana nae kumtoa sasa ndiyo kimbembe. Unaweza kufa kwa sonona
 
Kisheria mwanamke akikubambikia mtoto au akiwa ndie chanzo cha ndoa kuvunjika hawajibishwi kwa lolote na vile vile analindwa. Mkipima DNA mwanamke ndie muamuzi akikataa basi DNA haipimwi na hata akikubali na ikaonekana sio mtoto wako, mwanaume utadanganywa uyo ni mwanao. Wenyewe wanasema wanalinda masilahi ya mtoto na mama. Ni ukatili kwa mwanaume huu.

Halafu mzee mwenzangu mimi hapa naongea ukweli, siongei kutaka kufurahisha watu, kutaka kuonekana mwema au kuitwa gentleman, nice guy na title zingine za kisimp. Mimi sipindishi, naeleza ukweli ambao unahakisi uhalisia wa mtaani.

Kumbuka utakapofika wakati wa kukabiliana na matokeo ya maamuzi yako nature haitaangalia wema wako. Wakati huo ukikukuta kipindi. ambacho haujakaa kitaalamu utabamizwa tu. Woman's selfish nature doesn't care about your sacrifices

Hata mimi naamini binadamu tuna ile inner insticts ambayo inatutuma tufanye wema. Lakini jiulize, kwa type ya wanawake tuliyonayo kwenye jamii leo hii ni salama kwangu kusacrifice loyalty, kindness na resources kwenye mahusiano?

Tupo kwenye kizazi ambacho kuna changamoto kubwa sana ya uaminifu. Katika hili mwanamke analindwa na sheria, mamlaka za kiserikali, jamii na asasi za kiraia. Wewe mwanaume unalindwa na nani?

Tukija kwenye msingi wa mada ambao ni kufanya maamuzi ya kuchagua kimoja kati ya kujenga mahusiano na kujenga ndoto yako.

Usiingie kwenye mahusiano kwa sababu tu wengine wameingia. Ingia kwenye mahusiano ukiwa tayari una malengo ya nini unachokitaka katika hayo mahusiano.

Bila shaka lengo kuu la mahusiano ni ndoa. Hii maana yake kama hauna dhamira ya kuingia kwenye ndoa basi hakuna maana ya wewe kuwa kwenye commited relationship

Mahusiano ni mzigo yatakupotezea muda wako, pesa yako, nguvu zako na umakini wako. If you are still building yourself it better flirting than entering into committed relationship

Ukiingia kwenye mahusiano hautaweza kuwa huru, utaishi kumfurahisha mwanamke. Matatizo yake yanakua yako, unaweza kufikia mpaka hatua ya kupewa lawama mwanamke akiwa masikini utafikiri wewe ndio sababu ya umasiki wake.

Katika kuprove una qualifications za kuwa nae utakua katika presha na kubebeshwa matarajio mengi sana. Relationship is a burden and distruction. It drain your energy and pocket.

Sasa investmemts na sacrifices zote izo zitakua ni kupoteza muda tu kama hauna mpango wa kufikia matarajio ya juu katika hayo mahusiano, ambayo ni ndoa au kama bado haujajipata maana akitokea jamaa alieyejipata akatanganza nia demu anakuacha hapo hapo bila kujiuliza hata mara moja.

To any young man who he is still building himself, flirting is better than committed relationship
Nondo sana hizi

Kuna mwamba aliwahi kusema "mwanamke akijipata kimaisha hapendi kuishi na mwanaume hasa asiye na maisha ila mwanaume akijipata kimaisha anawaza kumtafuta mwanamke asiye na maisha ili ampe maisha na wajenge familia"

To a man marriage is a liability
To a woman marriage ia an asset

Haya yote tunayaona hasa kwenye nyakati za sasa, bora hata enzi za wazee wetu
 
Wewe jamaaa unajua sana hizi mambo.
Kongole sana kwa haya madini.
 
pole sana mkuu..
kwa sababu
AISIFIAYE MVUA imemnyeshea,
na aliyepata kuumwa na nyoka hata akikanyaga nyasi hustuka./huogopa.
ni dhahiri pengine ulishawahi kupigwa na kitu kizito na wanawake/mwanake.
i can feel you ..ushauri unaowapa vijana hutaki(wa learn it the hard way)wasijaribu sumu kwa kuionja.
LAKINI SIKIO LA KUFA ....halisikii dawa
MTOTO AKILILIA WEMBE..wacha /mpe umkate
Kwa vile wengine ni matomaso wanataka (UTAMU WA NGOMA INGIA UCHEZE MWENYEWE) WAINGIE WACHEZE wauonje utamu wa ngoma wenyewe.Muda utaongea.

Pole sana mkuu ndio maisha .Kukosea njia wakati wa kwenda ni kawaida ila wakati wa kurudi sio rahisi kukosea tena njia.Nyani mzee amekwepa mishale mingi.
Hizi nasaha zimekaa kiuzoefu zaidi(naona una husia vijana from experience kabisa)
MWENYE MASIKIO ...na asikie.
mwenye macho..haambiwi ona./tazama.
 
Nondo sana hizi

Kuna mwamba aliwahi kusema "mwanamke akijipata kimaisha hapendi kuishi na mwanaume hasa asiye na maisha ila mwanaume akijipata kimaisha anawaza kumtafuta mwanamke asiye na maisha ili ampe maisha na wajenge familia"

To a man marriage is a liability
To a woman marriage ia an asset

Haya yote tunayaona hasa kwenye nyakati za sasa, bora hata enzi za wazee wetu
Very true. Kwa mwanaume kuwa single ni nafuu zaidi kuliko kuwa kwenye ndoa lakini kwa mwanamke kuwa single ni gharama zaidi kuliko kuwa kwenye ndoa.
 
pole sana mkuu..
kwa sababu
AISIFIAYE MVUA imemnyeshea,
na aliyepata kuumwa na nyoka hata akikanyaga nyasi hustuka./huogopa.
ni dhahiri pengine ulishawahi kupigwa na kitu kizito na wanawake/mwanake.
i can feel you ..ushauri unaowapa vijana hutaki(wa learn it the hard way)wasijaribu sumu kwa kuionja.
LAKINI SIKIO LA KUFA ....halisikii dawa
MTOTO AKILILIA WEMBE..wacha /mpe umkate
Kwa vile wengine ni matomaso wanataka (UTAMU WA NGOMA INGIA UCHEZE MWENYEWE) WAINGIE WACHEZE wauonje utamu wa ngoma wenyewe.Muda utaongea.

Pole sana mkuu ndio maisha .Kukosea njia wakati wa kwenda ni kawaida ila wakati wa kurudi sio rahisi kukosea tena njia.Nyani mzee amekwepa mishale mingi.
Hizi nasaha zimekaa kiuzoefu zaidi(naona una husia vijana from experience kabisa)
MWENYE MASIKIO ...na asikie.
mwenye macho..haambiwi ona./tazama.
Siwezi kusema mahusiano niliyopitia hayakua na misukosuko lakini sio masuala makubwa kiasi cha kuniachia maumivu kama unavyofikiri

Mengi ninayoaandika hapa ni yale ninayojua kupitia kusoma vitabuni, kuona yanayoendelea ulimwenguni na ninayoyashuhudia kwa ndugu, jamaa, majirani na marafiki.

Kuna hitaji kubwa la kukiamsha kizazi cha kiume ambacho kinamezwa na mfumo jike uliosimikwa duniani kote.
 
Ushauri wa maana kabisa ila wengine tayar jahaz limeshazama

Lakin sometimes ukiwa na majukumu mengi au makubwa akili inapanuka na unaweza kutafuta njia za kukabiliana na matatizo
 
Natafuta mwanamke anayejishughulisha, mpambanaji anaye yajua maisha ya utafutaji. Mpambane wote mjenge future yenu. Achana na hawa wanaoka majumbani wasiopenda kujishughulisha ni mizigo.
 
Mwanamke mpaka aje kuwa na akili izo in most cases anakua tayari ashachezewa sana, umri umeenda, single mother na demand yake ishashuka kwenye soko la mahusiano. Hana option nyingine zaidi ya kupambana, ila hawa wakina dada wa 18-28 sio rahisi kumpata mwenye mawazo hayo.

Wanawake wakiwa kwenye peak yao ya uzuri wanajisahau sana. Hawajui kama soko lao kwenye mahusiano ni la muda mfupi
 
Kumbuka utakapofika wakati wa kukabiliana na matokeo ya maamuzi yako nature haitaangalia wema wako. Wakati huo ukikukuta kipindi. ambacho haujakaa kitaalamu utabamizwa tu. Woman's selfish nature doesn't care about your sacrifices
Kuwakwepa wanawake ktk mahusiano haisaidii, coz bado utawatafuta kukidhi haja zako, jambo linalogharimu zaidi kuliko hata mahusiano.

Mkuu, wanawake wanamchango mkubwa sana ktk maisha yetu, ni vile tu tunachagua kutizama zaidi mabaya yao. Mfano jukum la kubeba mimba na ulezi, linathamani kubwa sana kuliko hata hizo mali tunazozipa thamani kuliko utu.

Kumbuka mazingira ya sasa, hayajamuathiri mwanamke pekee bali yameathiri jinsia zote, ndo maana mitaani kuna vijana wamekua mabwabwa na wengine wanapenda kulelewa na wanawake.
 
Sijasema kuwakwepa. Namaanisha kwenda nao kimachale. Hapo kwingine umedanganya, kwa mwanaume kuwa single ni nafuu zaidi ya kuwa kwenye mahusiano au ndoa.
Mkuu, wanawake wanamchango mkubwa sana ktk maisha yetu, ni vile tu tunachagua kutizama zaidi mabaya yao. Mfano jukum la kubeba mimba na ulezi, linathamani kubwa sana kuliko hata hizo mali tunazozipa thamani kuliko utu.
kwani baada ya kuzaa yeye anapoteza haki za mzazi wa uyo mtoto, mbona unaongea kama vile ni favor wakati wao pia wanataka hao watoto. Mwanaume ukikataa kutoa mbegu zako ni wanawake wangapi wanaweza kumudu gharama za kupandikiza mimba hospitali?
Kumbuka mazingira ya sasa, hayajamuathiri mwanamke pekee bali yameathiri jinsia zote, ndo maana mitaani kuna vijana wamekua mabwabwa na wengine wanapenda kulelewa na wanawake.
Ndio maana uko juu nikakwambia mwanamke analindwa, wewe unalindwa na nani.

Wanawake hawana maajabu kama unavyofikiria. Just focus on building yourself you will realize how women are cheap and senseless. Kuna mwamba kachafua hali ya hewa twita uko connection zake na wanawake 400 zimevuja. Kuna mpaka wake za watu. Wewe tafuta hela utajua rangi zao halisi
 
Ushauri wa maana kabisa ila wengine tayar jahaz limeshazama

Lakin sometimes ukiwa na majukumu mengi au makubwa akili inapanuka na unaweza kutafuta njia za kukabiliana na matatizo
Akili inapanuka sawa maanake inaanza kuzingatia na ushauri kutoka kwa mama yako na dada zako
Kutokana na wingi wa majukumu labda nikuambie kitu
Jaribu kuoa ukae na mkeo hata miaka kumi then muachane uone vile utaishi maisha ya amani na utulivu bila presha ya majukumu..
Matatizo yako peke yako yanatosha kukufanya uamke na kupambania ndoto zako..
 
Back
Top Bottom