Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

INafurahisha Sana, kukutana na wadau wenye mtizamo chanya.
👉Tunao weza kubadilishana mawazo, na kupeana ushauri 🙏💪
Ila niko mwishoni kubadirisha matumizi ya nyumba yangu ya kupangisha kuifanya nyumba ya kulala wageni.

Nimefanya tathmini nimeona itanilipa zaidi ya hii kupangisha.

Mungu akipenda February mwakani niwe nimekamilisha.
 
Though sijajenga, ila Niko kwenye usimamizi wa nyumba fulani.
👉Jirani Kuna NyUmba za wageni Kama 5 na ziko on fire.
👉Sio mbaya mkuu, muhimu tufikie Malengo. Grahams
 
Though sijajenga, ila Niko kwenye usimamizi wa nyumba fulani.
👉Jirani Kuna NyUmba za wageni Kama 5 na ziko on fire.
👉Sio mbaya mkuu, muhimu tufikie Malengo. Grahams
Ni kweli, ila Nyumba za kulala wageni zinalipa kuliko za kupangisha.

Hela ambayo napata kwenye kodi mwa Mwaka mzima naweza kuipata ndani ya miezi 3 tu kupitia Lodge
 
Ni kweli, ila Nyumba za kulala wageni zinalipa kuliko za kupangisha.

Hela ambayo napata kwenye kodi mwa Mwaka mzima naweza kuipata ndani ya miezi 3 tu kupitia Lodge
Ni kweli mkuu, nami Nita fikiria hivyo.
👉Sema sio leo au kesho.
 
Ni kweli mkuu, nami Nita fikiria hivyo.
👉Sema sio leo au kesho.
Kila la kheri

Ukiweza kujitengenezea uhuru wa kifedha, ni nadra sana kuishi kwa stress.

Hakuna stress mbaya kwangu kama stress ya kukosa hela.

With money, unaweza kutibu stress nyingine ikiwemo ya mapenzi.

So muhimu sana kuendelea kujiwekeza ili kuwa na Uhuru wa Kifedha
 
Ni kweli, pesa huleta amani, Uhuru na hata nguvu.
 
Laki 2 ukipitia kwa wenyeji, ila ukiwa wa kuja wanaweza kukufanyia laki 3 plus kwa ekari
Ooh mi nishawai kulima tabora ni laki kwa hekari.
👉Halafu mbarali ni sehemu ya kibiashara, sawa na ifanara morogoro.
👉Japo center ya mchele iko kahama, maana Wana peleka Sana Rwanda.
 
Sehem nyingine umeongea ukweli sehem nyingine umeongea pumba.
Hela zinamfata mwenye hela Kwa sabb zipi kaninya uvutani wa sumaku au?
Mtu anaepata madem madem humfata Kwa sabab zipi?.

Iweke sawa ikae hiv... Matajiri nonrisky taker! Maplay boy ni risk taker pia. Maplay boy wanatongoza Kila mtu... Na wanapata madem wengi tu. Matajiri hawaachi fursa ndio mana wanapiga Dili ndefu.

Hakuna kitu kikubwa na kizuri kwenye kuchukua risky kama kucheza na idadi kubwa. Kama ni madem Utakaokoda wapo, watakaokusema wapo na kadri unavyowakaribia uwoga wa kukataliwa unaondoka.
Matajiri pia wanapata hasara vizuri tu.. tajiri haogopi hasara. Nliwahi kukutana na jamaa mmoja anamiliki small planet Tabata. Yule jamaa haogopi kuingia miguu miwili kwenye biashara. Ofkoz ni doni mmoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…