Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Au kuto kuishi kwa mazoea nalo ni muhimu.
Ni kweli

Upande wa marafiki, binafsi sinaga kwakweli

Nikishachat hapa JF ndiyo imeisha hiyo, marafiki wengi huwa ni vichomi tu.

Unakaa na rafiki mwaka 1 hajawahi kukushauri wazo la maendeleo hata mara mmoja, Ushauri wake ni kuhusu Bata na Wanawake tu.

Hapo utasema una rafiki? Si bora uwe mwenyewe tu bila marafiki
 
Yeah ni kweli mkuu, au mtu ana kuwa ana chota maarifa yako tu.
👉Hapo we ndo Utakuwa Mtaji, mwisho Aki advance ana kupiga teke.
 
Sahihi kabisa, na wengine tunakuja kujenga nyumba zetu baada ya kustaafu alafu wao wanataka kujenga na kununua magari kwa miaka 3 au 5 🙌
Halafu Kuna formula, tengeza msingi wa pesa kwanza.
👉Asset ziwe za kutosha, punguza liability Kama gari, nyumba.
 
Kiwanja na nyumba, ni asset endapo uta tune in Akili yako vizuri.
👉nyumba ya Makazi na nyumba ya kupangisha. Ziko sawa?? Grahams
Upo sahihi, za kupangisha zinaleta hela kila mwisho wa mwezi.

Mfano jana sikuwa na hili wala lile nakuta Muamala wa Mpangaji wangu mmoja kulipa Kodi.

Chukulia hapo una nyumba Dsm, Moro, Dodoma, Kahama ni mwendo wa miamala tu 😁
 
Na shida Sio kuwa na nyumba ya kupangisha tu.
👉 Location and quality matters, huezi ukawa na nyumba mbagala Afu una taka ulingane na wa masaki.
👉Uwe na chumba hakina ceiling board, Afu una taka ushindane na wa gpysum.
 
Back
Top Bottom