Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

The future is yours be careful.
jf.jpg
 
Sema Grahams Azam Yuko vizuri aisee, it's time ngozi nyeusi tuinuke pia🤒
Yeah Mzee yuko vizuri sana, Vijana mnatakiwa muige uwekezaji wake.

Unaweza kuwa na milioni zako 6 badala ya kwenda kulia Bata town ukaenda kufungua mradi hata wa kufuga Nguruwe huko Kijijini.

Baada ya miezi 8 unakuta tayari una nguruwe 120 plus

Nguruwe mwenye kilo 100 kwasasa anauzwa si chini ya 750,000 imagine hapo una ngapi?
 
Yeah mkuu, kumaintain positive attitude ni muhimu Sana
👉Huwezi ukawa mtu una Kesha club, halafu una taka kuwa Kama yeye.
 
Yeah Mzee yuko vizuri sana, Vijana mnatakiwa muige uwekezaji wake.

Unaweza kuwa na milioni zako 6 badala ya kwenda kulia Bata town ukaenda kufungua mradi hata wa kufuga Nguruwe huko Kijijini.

Baada ya miezi 8 unakuta tayari una nguruwe 120 plus

Nguruwe mwenye kilo 100 kwasasa anauzwa si chini ya 750,000 imagine hapo una ngapi?
Kusini nguruwe sio deal sana labda huko daslam, ama dodoma
 
Of course soko la nguruwe ni DSM, Arusha na Dodoma.

Ukisema u-concentrate na ufugaji wa nguruwe, unaweza usitamani kuajiriwa tena.

Unaweza kuwa unauza wazima Dsm au ukawa unakibanda chako umeajiri vijana wana kaanga alafu pembeni unauza vibeer vyako mdogo mdogo.
 
Na SI lazima nguruwe, Kuna ufugaji wa layers wa mayai au kuku wa kienyeji was mayai na nyama.
 
Back
Top Bottom