Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

YoungPastor
FB_IMG_16892561284484159.jpg
 
Darasa zuri nimejifunza
Nimechukua maarifa
Kwenye maisha hatukomi kujifunza

Me naamini kwenye juhudi na kujiamini
Juhudi zako hazitakutupa ipo siku zitakufanikisha

Rafiki ni kitu kinakuja automatic, hakuna mtu anatumiwa maombi ya urafiki sema mipaka ndo tuchunguze iwe na kiasi

Me naamini kuwa na mahusiano na watu wote ni jambo zuri hata maskini wanachangia kukubwa kwenye utajiri wako
Matajiri akina na bakheresa wateja wao wakubwa ni watu wa kipato cha chini ndo wachangiaji wa utajiri watu

Kujamiana na watu hakupunguzi utajiri wala umaskini hiyo ni ego tu

Otherwise uzi mzuri nimechukua madini baadhi
 
YoungPastor jifunze kitu.
 
Network is overrated

Subiri network uone tatizo lake

I think ukiwa na akili sana na ukatoa solution au bidhaa itakayo really solve problems,regardless hata uwe haramia kama Idd Amin,human beings will buy that shit

Network ni burden na kupotezeana muda
Brother nimeukubali ushauri wako,tujikite kutatua matatizo yenye kuitesa jamii ili iwe bidhaa wanunue... network itakutafuta yenyewe tu.huna haja yakuitafuta network nisawa nakujikomba au kujipendekeza kwao.ukiweza kusuluhisha matatizo ww ndio utakua network mwenyewe.
 
Muda mwingine Sio kujikomba, ili jionyeshe kipaji, nidhamu na hata Akili uliyo nayo.
👉Itasaidia kuonekana
 
Back
Top Bottom