Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Nmekumbuka mbali........ Walisema huko mbali kuwa kila mtu anazaliwa akiwa Genious....

Wakaendelea kusema huko mbali kwamba hakuna mtu mjinga tatizo ni mazingira ndo yanaathiri mpka uelewa wa mtu
Njia sahihi ni imani, tangu nasoma nilikuwa naamini Mimi ni mtu Bora na nitakuwa mtu mkubwa.
👉Sijawai kujichukulia simple, licha ya kukutana na mazingira mabovu.
 
Chakula kimeshiba Mkuu, hapa Wajukuu zangu wakirudi Likizo kunisalimia lazima niwape hili darasa.

Muhimu sana Kujenga Ngome hasa Watoto wa Kiume. Sisi kwenye kabila letu tulianza kupewa haya maarifa wakati tuko Jandoni
La muhimu mno💪, ndo Mana huwa mnaona mtoto ana ambiwa usicheze na fulani🤔.
 
Back
Top Bottom