Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Painful truth to all young Hustlers, tusitolewe mchezoni
FB_IMG_16900310117568656.jpg
 
Kweli kabisa Kuna jamaa yangu Huwa hanielewi kabisa ratiba zangu Kuna siku tulipata mda wa kukaaa pamoja mda mrefu kidogo hivyo nikamchukua na kumpleka nyumbani dah alishangaa Sana kuona nimejenga nyumba kubwa tena ya kisasa kabisa na Bado sijaoa na Wala sio mtu wa bata akawaananiambia Sasa bro unanyumba tayari kwanini Huli bata na utafuti mtoto mzuri umuweke ndani dah nilimshangaa Sana why anafikiria hivyo dah pale pale nikasema kweli tuko tofauti
 
Mtazamo na vipaumbele ni Jambo la kuzingatia Sana.
 
Back
Top Bottom