Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Kila mtu lazima apitie mivurugano,, no sehemu ya maisha😂😂Mi ni tapeli tu😁😁, huja nikuta nikiwa Nike vurugwa😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu lazima apitie mivurugano,, no sehemu ya maisha😂😂Mi ni tapeli tu😁😁, huja nikuta nikiwa Nike vurugwa😁😁
Ni kweli, ila Jambo zuri ni kuweza kustahimili.Kila mtu lazima apitie mivurugano,, no sehemu ya maisha😂😂
Mkuu pesa Ina umuhimu mkubwa. Ila marafiki pia Wana nafasi yao.Sinaga rafiki mimi,huwa nafurahi zaidi ninapo kuwa peke angu,niliwahi kuwa na marafiki kipindi cha nyuma sana ila kwa sasa ,i walk alone
Rafiki wa kweli ni pesa yako tu,
Tunapenda sana kufanana na marafiki zetu. Ukiwa na rafiki malaya na wewe utataka tu kuwa side mnyamwezi.Gily Gru usome maarifa haya💪
Moja Kati ya watu ninao wakubali ni wewe💪 Gily Gru huwa una waza nje ya box.Tunapenda sana kufanana na marafiki zetu. Ukiwa na rafiki malaya na wewe utataka tu kuwa side mnyamwezi.
Marafiki wengine wanaturudisha sana nyuma. Ni mda wa kuwa na marafiki positive
Recently nilipata rafiki mpya Jose. Kaniangusha kweli nimesikitika. Nilikuwa nina matarajio makubwa kichwani mwangu. Ila nimegundua ni aina ya watu wasiotaka kubadilika.
Mfano mdogo tu kuna watu wanashinda mtandaoni kutwa nzima ila hawawazi hata faida yake ni nini. Hopeless wakati wengine wanapoteza mda na social media wengine wako relini kutengeneza pesa. Mtu mpaka uje kuamka muda unaenda na siku zako umezipoteza jwa mambo ya kijinga
Nataka nikushauri, binafsi hapa JF nimebahatika kufahamiana na watu baadhi. Urafiki wangu na wao ni wa manufaa makubwa. Wakati wengine wanachat from morning to evening na wanapita na minyuzi isiyo ya maana
At 25 ninaishi kwangu nina two houses.l Dar mjini sio nje ya mji. Siamini maendeleo ni nyumba la hasha. Naamini kuwa unaacha alama kila unachokifanya ( my point exactly). Sijisifu ila siri ya maisha ni hii:
1. Marafiki positive wenya faida
2. Uwe na business zaidi ya moja excess income
mshamba_hachekwi huyu kijana ni smart sana nimeona kikubwa sana ndani yake. Yupo kwenye kundi la watu wanaopoteza mda mtandaoni ila uzuri nasaha zangu anazielewa. Mdogo wangu mshamba usikasirike ukiambiwa ukweli pokea ni faida kwako.
Shukrani kwa Tagging Intelligent businessman nimefurahia huu uzi sana
Tia neno lako au ushauri, vijana lituongoze.Asante kwa somo safi mkuu. Mwenye masikio na asikie
Sema neno Kaka, Kama mpambanaji 🙏💪You mean no malice to anybody
Thank you. Uishi Miaka mingi sana.Moja Kati ya watu ninao wakubali ni wewe💪 Gily Gru huwa una waza nje ya box.
👉 Talking about mshamba_hachekwi nili mwona pia, tuna ideas na philosophy baadhi Zina endana.
👉Kuhusu umiliki wa biashara zaidi ya 1, Hilo ni muhimu zaidi ya Sana.
👉Kudos to you mkuu Gily Gru lazima meza ipinduke💪
Naam! Kitu muhimu katika kuhusiana na watu iwe ni ndugu, marafiki, mwenza ni kubalance MATARAJIO. Wengi tunajikuta kwenye maumivu na majuto kwasababu tunatarajia mambo chanya tu kutoka kwao tunasahau kwamba human being are selfish in nature. Unapokuwa na jambo lako hakikisha unajipa wewe asilimia 95 za kulifanikisha na zinazobaki kama utasaidiwa na wengine its fine na kama hawatakusaidia utakuwa umesogea. Kuliko una jambo lako unategemea 50% usaidiwe na watu lazima ikugharimu kwa njia moja ama nyingine.Tia neno lako au ushauri, vijana lituongoze.
Nime kuelewa kwa kina mkuu🙏💪Naam! Kitu muhimu katika kuhusiana na watu iwe ni ndugu, marafiki, mwenza ni kubalance MATARAJIO. Wengi tunajikuta kwenye maumivu na majuto kwasababu tunatarajia mambo chanya tu kutoka kwao tunasahau kwamba human being are selfish in nature. Unapokuwa na jambo lako hakikisha unajipa wewe asilimia 95 za kulifanikisha na zinazobaki kama utasaidiwa na wengine its fine na kama hawatakusaidia utakuwa umesogea. Kuliko una jambo lako unategemea 50% usaidiwe na watu lazima ikugharimu kwa njia moja ama nyingine.
Tupunguze expectations kutoka kwa marafiki.